Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,150
- 7,416
hizo ni akili za kizamani wewe, bila mzungu unafikiri ungekula leo?
we kweli *****! unazani kuwausudu wazungu ndo ukisasa au kwenda na wakati hivi watu kama nyinyi mlikujaje humu? Maana critical thinker lazima uwe na clarity, accuracy,precision,relevance,depth,credibility,logic e.t.c kwa misingi hiyo we ni mlopokaji huwa una payukapayuka bila kujali huko wapi/home of great thinker.