Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
<br />Hiyo inajulikana lakini unafiki walio taka leta chadema ni ujinga mkubwa sana! Yani chadema walitka kutumia maiti za jamaa zetu kwa siasa! Hoja yangu ni kwa wana siasa kutaka kuingilia na kulipeleka jambo hili kisiasa sio CCM wala Chadema! Wakati jamaa wanadai haki yao halikua kisiasa sasa vyama vinaingiaje hapa!
<br />
We makalio kweli,Tundu lisu amehangaika sana na nyamongo.na watu wanamjua sana nyamongo,sasa wewe cjui unachukulia tukio la jana ndo kisa? Kwanza hamna mkurya Mwenye MAWAZO LEGEVU kama yako. We umenunuliwa,af huna sifa za kukaa majukwaa kama haya mana maneno yako yanalijazia jukwaa nzi,na kama unavojua feni zimezima kutokana na mgao wa umeme kwaiyo ni vizuri ukalale au ukatafute gazeti la udaku usome.