Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Bwana alito na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Adam Za watu hawa zitalipwa 2015 aki ya Mungu naapa.
msilete siasa kwenye misiba ya makusudi
Bwana alito na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Adam Za watu hawa zitalipwa 2015 aki ya Mungu naapa.
Mungu yu pamoja nanyi na roho ya marehemu ilale mahala pema peponi.
Marehemu Judith Nilisalimiana naye muda mfupi kabla mauti haijamkuta nikaenda kuchukua vocha,wakati nipo njian ndo bomu likalipuka. ccm wanakomaza nafsi zetu kdogo kdogo. RIP kamanda
Laws and orders are unquestionable -- why this can not get in the heads of your gangsta CDM leaders
Watu ni wengi sana kwenye makaburi mahali mwili wa Judith unapumzishwa, ibada inaendelea!
Kwa umati huu ulivyo sina la kusema zaidi ya kusema "CHADEMA is one product with the same standard"!
Chadema ni mpango wa Mungu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hapa bodaboda naona wanatumika vibaya kama ile mipira ya kiume na kike. kumbe akina muhogo mchungu wametoa tangazo linalowagusa watu fulani
Arusha Arusha Arusha....IT IS NOW OR NEVER
mkuu unataka watu waache kuomboleza wakusome ok umeshindwa.RIP dada yangu judith damu yako iliyomwagika soweto ikawe chanzo cha mabadiliko
Poleni lakn angalieni mabomu aliyoenda kuyanua nchemba a.k.a savimbi huko china hayajaisha