Mahubiri ya Askofu Kisiri na tamko mhe. Freeman Mbowe siku ya mazishi ya Judith William Moshi aliyeuawa kwa bomu la risasi kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata nne yaani Elerai, Kimandolu, Themi na Kaloleni tarehe 15.06.2013 mkutano ulikuwa ukifanyika uwanja wa Soweto Arusha huku msemaji mkuu siku hiyo akiwa mhe. Freeman Mbowe na Godless Lema, kwa mujibu wa mashuhuda wanasema
"Nilikuwa nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya saa 12 kasorobo jioni siku ya tarehe 15 Juni 2013 nilimwona mtu aliyevaa helmeti ya polisi akishuka kwenye gari namba PT. 1179 na kurusha kitu kilicholipuka baadaye kukimbia na kuingia gari la kiraia lililokuwa mbele ya gari la polisi alilokuja nalo baadaye gari hilo kuondoka likisindikizwa na gari la polisi alilokuja nalo"
[video]
Mahubiri na tamko la Mhe. Mbowe - YouTube[/video]