Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Dr kwa heshima yako na tunu uliyonayo kwa Taifa hili,wala usingekuwa unajibu comments za watu kama BlackGold kwani hapo alipo hata dhamira yake inamsuta kwa yote anayoyasema,hakuna mtu alietayari kuua wananchi wake kisa kujulikana,na kama chadema ingekuwa haijulikani basi viongozi wa serikali wasingetumia nguvu kubwa kuidhibiti,nakuomba sana Dr ujiepushe na haya majibizano ya humu ndani,najua unamaumivu makubwa sana ila jikaze tu kimoyo moyo,ongozwa na maandiko zaidi kuliko hisia.

Binadamu hatufanani,kuna wengine wanajua yalipo maduka ya viungo vya binadamu,moyo,mikono,miguu,na hata vichwa ila sisi hatujui ndiyo maana tunayofanyiwa tunamwachia alietupa viungo hivyo bure"tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu"asante kwa ushirikiano wako

Uyasemayo ni kweli,ila Dr naye ni mwanadamu hivyo uchungu anaoupata ni kama sisi na pengine yeye kwa vile ni kiongozi na anajua mengi yanayotendwa na serikali uchungu wake ni maradufu. Ni wajibu wetu kumuombea kwa MUNGU azidi kumjaza hekima na uvumilivu ili aweze kutuongoza kuikamilisha kazi hii iliyo sababisha maisha ya Dada yetu Judith kukatishwa kinyama na wachache wasio na huruma.
 
RIP Judith,
Hutasaulika daima. Makamanda wote mliopoteza maisha, mtakumbukwa daima. Mungu aiweke Roho ya Marehemu Judith na wenzake mahala pema peponi. Amen

Haya yana Mwisho wake Dr.Msivunjike moyo
 
Kila Nafsi itaonja mauti. Hata wanaofanya matendo haya siku ikifika nao watakufa tu? Hakuna atakayeishi milele hapa duniani.
 
Watu ni wengi sana kwenye makaburi mahali mwili wa Judith unapumzishwa, ibada inaendelea!

Kwa umati huu ulivyo sina la kusema zaidi ya kusema "CHADEMA is one product with the same standard"!

Chadema ni mpango wa Mungu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
watu ni wengi makaburini mahali mwili wa judith unapumzishwa, ibada inaendelea!

Kwa umati huu ulivyo sina....zaidi ya kusema "chadema is one product with the same standard"!

Chadema ni mpango wa mungu

chadema!
 
Serekali imeshachanganyikiwa, imeshakataliwa na wananchi, hata hizo kata walizoshinda wameshinda kwa wizi wa kura tu! Viongozi wengi wa Tanzania wa CCM wananuka damu, dhambi hiyo itawafuata maisha yao yote
 
Bwana alito na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Adam Za watu hawa zitalipwa 2015 aki ya Mungu naapa.
 
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...

Hizi Kauli zitapoteza maisha ya wengi wasio na hatia -- kutetea mikate ya viongozi au watu wengine. Tueleimike na tuwe na utashi nchi hii ilishapata uhuru na kila mtu ana uhuru wa kuendeleza maisha yake mwenyewe. Anyway kama ndio maisha CDM tumechagua na tutaendelea kuchimba makaburi kuotesha watu wasio hatia badala ya kuchimba mitaro ya kuelekeza maji machafu, barabara, kujenga nyumba bora na mipango mingine ya maendeleo.

Naomba kuwasilisha

why cant tell polisi wa chama cha mauaji(ccm) to stop killing innocent children of this country?
 
hatungependa vifo kama hivi vitokee...ila inapotokea, hasa ktk nchi yenye udhalimu kama huu...inauma sana..ila haijawahi kumwagwa damu mahali popote duniani na mabadiliko yasitojke...john 24:12
 
Raha ya Milele umpe Ee Bwana. Na mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani..............
 
Pumzika kwa Amani Judy,Amir na Ramadhan Amina.

hapo naona mmeshituka na msiba wa Judith tu. wengine hamjashtuka hata kidogo. huyo amefariki kwa bahati mbaya ila wengine walikusudiwa na chadema wenyewe
 
why cant tell polisi wa chama cha mauaji(ccm) to stop killing innocent children of this country?


Laws and orders are unquestionable -- why this can not get in the heads of your gangsta CDM leaders
 
dah RIP KAMANDA ULALE MAHALA PEMA PEPONI AMINA.
 
chadema mnaomboleza kwa unafiki mkubwa. mnajifanya inawauma kumbe nyoyoni mwenu mnashangilia
 
Mungu yu pamoja nanyi na roho ya marehemu ilale mahala pema peponi.
 
Back
Top Bottom