Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Kibanda ameshasema mwenyewe anaemuhisi sasa sijui unataka kubishana na ukweli? na Dr Ulimboka kupitia baba yake alishawaomba mumuache mwanaweccm ipi hiyo mkuu
kifo cha mwangosi,kibanda,ulimboka,
Kibanda ameshasema mwenyewe anaemuhisi sasa sijui unataka kubishana na ukweli? na Dr Ulimboka kupitia baba yake alishawaomba mumuache mwanaweccm ipi hiyo mkuu
kifo cha mwangosi,kibanda,ulimboka,
Kibanda ameshasema mwenyewe anaemuhisi sasa sijui unataka kubishana na ukweli? na Dr Ulimboka kupitia baba yake alishawaomba mumuache mwanawe
Kama kungekuwa na uwezekano , mikusanyiko yote ya CDM kuwekwe cctv cameras maana hata huko kwenye msiba hawatashindwa kutupa bomu hawa jamaa ili ionekane kuwa ndani ya CDM kuna kundi la kigaidi.
Hayo ni maoni yangu
Mfike salama
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...
Hizi Kauli zitapoteza maisha ya wengi wasio na hatia -- kutetea mikate ya viongozi au watu wengine. Tueleimike na tuwe na utashi nchi hii ilishapata uhuru na kila mtu ana uhuru wa kuendeleza maisha yake mwenyewe. Anyway kama ndio maisha CDM tumechagua na tutaendelea kuchimba makaburi kuotesha watu wasio hatia badala ya kuchimba mitaro ya kuelekeza maji machafu, barabara, kujenga nyumba bora na mipango mingine ya maendeleo.
Naomba kuwasilisha
Ni tatizo sana akili ndogo kutawala akili kubwa(mropokaji chagonjwa)Siku hizi wana msemo wao unaoitwa, ''mkusanyiko usio na kibali''
Ukiangalia ile issue ya kukusanyika SOWETO jamaa walivyojibu hoja utagundua akili zao zinahitaji msaada
Maana walisema watu wasiingie mkutanoni kwasababu AICC imekataza,
Lakini walipokuwa wanapiga mabomu walikuwa wanasema mkusanyiko ulikuwa sio halali
Sasa swali ni kwamba zile fujo polic walianzisha jana ilikuwa ni watu kuingia uwanjani au kukusanyika
Maana hawakusema kukusanyika ilikuwa ni issue, ila issue ilikuwa ni kuingia uwanjani na wananchi walitii hawakuingia na bado walipigwa.
kama unaenda mahakamani na unapata haki, elimu bora, maji safi.... unahaki ya kufungua masaburi yako...
Nimekula tena vyote