Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Kamwambie JK kuwa Tanzania ni yetu sote na hakuna mtanzania mumbavu tena kama huyo -------- anaetufanya watanzania wapumbuvu....

Mbona polisi hawakumkamata baada ya kuongea maneno hayo na kisha wampatie ile fedha ya Lukuvi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ametengenezwa na machadema ili atoe ushuhuda feki
 
Mbona chadema mnaweweseka hivi? Tunaujua ukweli acheni kujihadaa
 
Ndio mana tunasema chadema ni agents wa kanisa na kanisa ni agent wa chadema
 
Nyie hangaikeni tu, mnadhani Mbowe hazitaki milioni kumi za Lukuvi? Ngoma nzito ndiyo maana video ya chadema imebanwa wamegundua hailipi.
 
Chadema iache kuwatumia viongozi wa kanisa kisiasa
 
Ndio mana tunasema chadema ni agents wa kanisa na kanisa ni agent wa chadema

Hiyo ilikuwa ibada ya mazishi mkuu, marehemu aliyeuawa kwa ugaidi wa ccm ndiyo alikuwa anazikwa kwa ibada ya mazishi. Ulitaka mchungaji ahubiri vipi?
Marehemu alikuwa mwanachama wa chadema ndiyo maana mwenyekiti naye katoa tamko la chama
 
Mbona chadema mnaweweseka hivi? Tunaujua ukweli acheni kujihadaa

mtaachaje kujua kila kitu wakati mipango yote ilifanywa na mwigulu na mlongo tena sebuleni kwa mlongo na kikao kingine hotelini..
 
Nyie hangaikeni tu, mnadhani Mbowe hazitaki milioni kumi za Lukuvi? Ngoma nzito ndiyo maana video ya chadema imebanwa wamegundua hailipi.

Ni milioni mia moja (100,000,000/=) taslimu
 
mtaachaje kujua kila kitu wakati mipango yote ilifanywa na mwigulu na mlongo tena sebuleni kwa mlongo na kikao kingine hotelini..

Inasikitisha sana kuona mkuu wa mkoa wa Arusha Mulungo Magesa ambaye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa anashiriki na Mwigulu Nchemba kuua raiya kwa bomu na risasi za moto.
 
Back
Top Bottom