Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Giving last respect to the senior fellow kamanda...mpiganaji Judith
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371733409.220511.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371733409.220511.jpg
    89.6 KB · Views: 222
pamoja mkuu..

Wapendwa Mungu awatie nguvu wote tuko pamoja R.I.P mpiganaji. Ipo siku damu yenu iliyomwagika huku wengine wakishangilia na kukejeli itakuwa ndio sadaka ya ukombozi kwa vizazi vyenu. Duniani kote hakuna mabadiliko ya kirahisi rahisi tu. Huu ni mwanzo.
 
Hivi wewe ndiye yule Mamaaa Mingoi aliyekuwa anacheza muziki pamoja na marehemu Shenaz pale Joly Club kila Jumatano!!!?

Mara ya mwisho nilikuona kwenye muziki wa Bob Rudala!
Mimi ni mume wake vipi unataka kuja kuziba pengo lake?

 
tangulia judith, nasi tunafuata. Tuko kwenye mapambano dhidi ya udhalimu na hukumu ya kipigo na kifo juu yetu imetangazwa na waziri mkuu bungeni.

hata pinda yampasa akahojiwe na chagonja kwa maana inaonyesha ni jinsi gani anavyouelewa mpango mzima wa mauaji ya wapendwa wetu.r.i.p. Dada juddy na makamanda wengine mliomwagika damu kwa ajili ya watz. Damu yenu ni chachu ya mapambano
 
R.I.P Judy that who kills will also die, the only different will be time of death

maswitule;

Not only the different time of death, but also where their souls gonna rest. The Bomb killlers goes to HELL while our Judy will be in HEAVEN. That is another big difference!

So sad to say,R.I.P Judy wetu.

Amen
 
Marehemu Judith Nilisalimiana naye muda mfupi kabla mauti haijamkuta nikaenda kuchukua vocha,wakati nipo njian ndo bomu likalipuka. ccm wanakomaza nafsi zetu kdogo kdogo. RIP kamanda
 
Back
Top Bottom