Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Wanafki wa lumumbaa uzi huu msichangieee

OvA
 
Bro Maxence Melo umenena kwa hekima kuu...ni kweli Mwenyezi Mungu ndiye anayeratibu maisha yetu hapa duniani na kamwe haruhusu wana wema kudhuriwa japo muovu naye ana hila nyingi...Get well [HASHTAG]#Mentor[/HASHTAG] [HASHTAG]#Humanist[/HASHTAG] [HASHTAG]#VisionaryLeader[/HASHTAG] Tundu Lissu Watanzania Tunakuombea
 
Wanafkiiii wa lumumbaaaa humuuu msichangieee uzi huu maana nyie ni wanafki tu

Ova
 
Mungu tunakuomba ulinzi wsko juu ya Tundu lissu na Aibu ikawafikilie kwanzia aliepanga shambulio mpaka mshambuliaji,waabishwe ,wafedheheshwe walioitafuta roho yake.Mungu tazama kundi hili linaomba uponyaji wako juuvya ndugu yetu huyu Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm ni adui namba Moja nchi hii. Mungu akuponye TL na akujalie maisha marefu amen
 
Mwenyezi Mungu akuponye TL

scratch my back & i'll scratch yours
 
Meseji nzuri kwa Tundu Lissu na hii ndiyo gharama ya kupambana na kupigania haki za watu wengi wapigania haki matukio kama hayo huwapata.

Kama ambavyo na wewe unapigania haki ya Jamii Forums lakini umekuwa ukiandamwa.

Be strong man tunakuamini na kukutegemea Mungu yuko pamoja na wewe na jopo lako la JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom