Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Tuko pamoja kiongozi kwenye kipindi hiki kigumu..ama Kwa hakika nchi yetu inapita kwenye kipindi kigumu sana...ni tukio ambalo kila mmoja wetu anapaswa kulaani.
 
nitakuwa wa mwisho kuamini lissu kapigwa risasi na raia wa kawaida.ni ngumu.
 
Hii ni post ya mwaka kama sio Karine... So sad... Nani wakutetea watanzania kama Roho ya mtetezi inatakiwa na mapepo yanayoishi na watu!
 
Mungu husikia vilio vya watu wengi na kutenda. Naungana na kundi hili kuomba uponyaji wa Mwenyezi kwa TL.

My take: uzi huu umechangiwa kwa staha bila maneno ya kejeli mengi. Max wasema hovyo wameogopa BAN ya papo kwa papo? Mods wasaidie hata thread zingine ziwe kwa staha hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akuponye Mhe Tundu Lissu , na kikubwa zaidi akulinde. Watanzania tunakuhitaji sana kwa ajili ya ujenzi Wa nchi yetu.
Eeh Mungu ninakuomba ,umponye Mhe Tundu Lissu.
 
Mungu akuongoze daima Max...
Umenitoa machozi aisee!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haiwezekani?Kwa sababu gani hiyo?
Kwa Dahambi ipi?
Ghadabu ya MUNGU Aliyefanya HAKI iwe ngazi ya kuinua NCHI Awafuatilie wote! Sio wao tu! Pamoja na Watoto wao,Mama zao na WALIOWATUMA!
PONA HARAKA MTETEZI WA HAKI TANZANIA.Tundu Lissu.
Be of Good Courage Max Melo
 
Tunamuomba Mungu mwenye huruma amponye na kumrudisha akiwa mzima
 
Mkuu kumbe ulishababikiziwa mambo ya UGAIDI? Nakumbuka uzi mmoja wa mkuu Barafu kuwa mh nje ya siasa ni mtu wa watu zaidi limejionyesha kwako.
Get well soon bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom