Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Acha uongo..... janga la mueshmiwa lisiwe sababu ya kuongepeana.....Nalia machozi yanatiririka Mungu tusaidie na adui Mwovu
Dah mi nimeshindwa kufanya my singing lessons today yaani nilikuwa ninamuombea tu huyu Bwana Lissu huyu jamaa ni Sauti ya mtu aliye nyikani kabisa!We acha tu Mkuu mimi ndiyo nimepata ahueni kama nusu saa tu iliyopita. Hata kazi zangu nilishindwa kabisa kufanya kuona huu unyama wa kutisha aliofanyiwa Kamanda Lissu huku akiwa hana hatia yoyote ile bali kutimiza wajibu wake kama raia na mbunge
Huyu mtu ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa letu. Wastaafu wote wamkemee kwa kauli na vitendo vyake vilivyojaa chuki na visasi vya kutisha ambavyo sasa vinaigwa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Kuna nyuzi tumezipitia huko awali huyu Coco alikuwa anafurahi wala usibishe
We umejuaje kuwa Coco anafurahishwa na yaliyompata huyo Lissu wenu?
Achana na huyo anaye osha wazee wa kizungu atakusumbua
Ndiyo, mkuu wa nchi anapowaamasisha wananchi hususan wenye uelewa mdogo wawaone watu wenye fikira mbadala (ambao ni kambi ya upinzani) ni wasaliti, watetezi wa wezi (wezi ambao hawapeleki mahakamani), haya yanayotokea hayatazuilika. Ninaweza kusema, JPM kama kiongozi mkuu asipobadilisha staili yake ya uongozi na kauli zisizowekwa kwenye mizani kwanza, jamii ya kitanzania inaelekea kubaya sana.
Moyo wangu unaumia ssnaa.....