Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka ambavyo mwaka 2008 nilipokamatwa ikidaiwa mimi ni GAIDI ulijitoa na kuja kuwa wakili wangu bila kuombwa na hata hukuniomba senti. Wakati huo hukuwa katika "active politics".

Maisha yakaenda mbele, ukawa mwanachama wa JamiiForums kwa jina halisi (verified Tundu Lissu) na kuniambia unataka kuonesha support kwa huduma tunayoitoa.

Disemba 2016 nilipokamatwa kwa madai ya kutotoa 'ushirikiano' kwa vyombo vya dola, hukuniacha ukaja hata bila kuitwa. Ulinisisitiza "Max, tumetoka mbali hata kabla sijaingia kwenye siasa, leo unanikimbia? Sikuachi uumie, nitakutetea bure na hata kufunga safari toka Dodoma kila kesi yako itakapotajwa." Tukacheka na kutiana moyo!

View attachment 583487

Ni wiki mbili zilizopita tulipopiga picha hii, hapa ulikuwa unarekebisha kalenda yako kuhakikisha tarehe ya kesi yangu unakuwepo ili kuhakikisha sizamishwi na walionipania (na nakumbuka ulithubutu kuwaambia usoni mbele zangu).

Habari ya wewe kushambuliwa kwa risasi (ni wazi waliutaka uhai wako) imeniumiza sana, imenitia simanzi kuu na kunifanya nikose la kufanya zaidi ya kupata japo dakika kadhaa kukuombea (the best I could do).

I happen to know you Tundu, nje ya siasa wanazoona walio wengi! Mungu akusaidie upone haraka na kukurejeshea afya yako hata kuyaponya majeraha yako.

Mungu wetu ni mwingi wa huruma; kama amekuepusha na kifo leo - atakuponya!

Get well soon brother...
Machozi yananitoka...ni mara chache sana huwa natokwa na machozi maana mimi nidu tayari!Pona haraka Tundu Antipas Lissu!Moyo wako wa kutueleza ukweli ndio chanzo cha majereha yote haya...Mungu aliye hai, Atakupigania kwa nguvu zote.Na hata ukilala mauti damu yako itaililia Tanzania mpaka ukombozi wa kweli utakapo patikana.Kama mpinzani wa kweli dhidi ya utawala dhalimu wa kisukuma jiandae kulala mauti!
 
Nakumbuka ambavyo mwaka 2008 nilipokamatwa ikidaiwa mimi ni GAIDI ulijitoa na kuja kuwa wakili wangu bila kuombwa na hata hukuniomba senti. Wakati huo hukuwa katika "active politics".

Maisha yakaenda mbele, ukawa mwanachama wa JamiiForums kwa jina halisi (verified Tundu Lissu) na kuniambia unataka kuonesha support kwa huduma tunayoitoa.

Disemba 2016 nilipokamatwa kwa madai ya kutotoa 'ushirikiano' kwa vyombo vya dola, hukuniacha ukaja hata bila kuitwa. Ulinisisitiza "Max, tumetoka mbali hata kabla sijaingia kwenye siasa, leo unanikimbia? Sikuachi uumie, nitakutetea bure na hata kufunga safari toka Dodoma kila kesi yako itakapotajwa." Tukacheka na kutiana moyo!

View attachment 583487

Ni wiki mbili zilizopita tulipopiga picha hii, hapa ulikuwa unarekebisha kalenda yako kuhakikisha tarehe ya kesi yangu unakuwepo ili kuhakikisha sizamishwi na walionipania (na nakumbuka ulithubutu kuwaambia usoni mbele zangu).

Habari ya wewe kushambuliwa kwa risasi (ni wazi waliutaka uhai wako) imeniumiza sana, imenitia simanzi kuu na kunifanya nikose la kufanya zaidi ya kupata japo dakika kadhaa kukuombea (the best I could do).

I happen to know you Tundu, nje ya siasa wanazoona walio wengi! Mungu akusaidie upone haraka na kukurejeshea afya yako hata kuyaponya majeraha yako.

Mungu wetu ni mwingi wa huruma; kama amekuepusha na kifo leo - atakuponya!

Get well soon brother...
Amen!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huzuni kubwa, max Mungu wetu amponye haraka lissu ni silaha ya watanzania wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama sio siku yako haijafika, huendi kwa kweli
this country needs you more!!!
uhai wa binadamu una thamani sana mbele ya MUNGU
get well soon TL
 
Nivyoiona taarifa ya kupigwa risasi tundu lisu, machozi yalinilengalenga sana kama Tanzania ndo tumefikia hatua za kupigwa risasi hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom