Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Mungu wetu ni mkubwa sana hawezi ruhusu kifo kwa mtu ambae peke yake alitoa maisha yake ili sote tuelewe ukweli
Sisi wengine tumejificha nyuma ya keyboard na kuandika tuonavyo ni sawa
Lissu pekee amekua akienda kwenye tv na kusema ukweli
Nimeumia sana
Naumia sana
Naamini Mungu wetu atamponya
 
Amen, Mungu ampiganie katika hali yoyote Tundu Lissu..
 
tumuombee mkurugenzi

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom