Mademu na mawig! wataacha lini ulimbukeni huu?

![]()
Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake, Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu. JamiiForums walikuwa wadhamini katika mashindano haya
![]()
Banner nyingine ya JF siku ya tukio
colgateHivi ukiwa mrembo lazima ukenue meno?
Wazeiya, hivi Max nyi mnamuonaje? Mi naona jamaa kala chumvi kiasi....cheki uso wake. Kajamaa kama kadingi flani hivi....teh teh teh
Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake, Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu. JamiiForums walikuwa wadhamini katika mashindano haya
U must be Joking we bwana...Nyani.....He is old enough no make few mistake in his future life....JF is going Higher.....Wazeiya, hivi Max nyi mnamuonaje? Mi naona jamaa kala chumvi kiasi....cheki uso wake. Kajamaa kama kadingi flani hivi....teh teh teh
Max Kama ulikuwa judge naomba namba ya mshindi wa pili....nata mfanyia mipango ya modelling....
dah... Max tartiiibu kama Lundenga vile 😛ound:
mkuu max, huyu bahati naweza pata namba zake?![]()