Maxence Melo alivyo-shine ndani ya Miss Universe!

Maxence Melo alivyo-shine ndani ya Miss Universe!

Status
Not open for further replies.
hahaaaa ....max bwana kagari ketu kale ka buluu bado kapo nataka uniuzie..
 
Mkuu naona maeneo kama kumetuna :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Mshindi wa pili ana u natural beauty kuliko namba moja. We Maria kwani hujajifunza kuona point tano huwa hawaendi mbali? Kama alivyosema mmoja humu unachagua machotara basi sema unataka machotara tu

Ila umechemsha sikuona wengine ila namba 2 angefika mbali

I mean Maria Sarungi badili unavyorun mashindano haya
 
Wow bana letu limetoka bombaaaaaaaa wanaochukia JF walie wasage meno oyeeeeeeee
 
Hivi totoo zinaruhusiwa kwa walibwende??hii mpya kwangu!!
 


Mkuu Max suti kali ngoja nawasuri kina Nyani sijui atasema nini tena.Mkuu huyo binti wa kwanza kushoto mwenye wigi na kigauni cha mtoto naye miss ? mbona hana mvuto kabisa hata beki tatu wangu kamzidi.
 
dah... Max tartiiibu kama Lundenga vile 😛ound:
 
Mkuu msaidizi wako...mko nae office moja!!Please locate me ur office....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom