Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

zitto kashindwa kupambana na nondo za uhakika za kubenea hadi kaenda kumpigia magoti vuvuzela alifungie mawio...kubenea 3 zitto 0
tunahamia mwanahalisi tukisubiri mabilioni ya fidia kwa mawio
 
Manyani yanafanya manyani yana igiza! Serikali ya kukurupuka na kuuza sura,vipi mmesha acha kufunga mageti ya Wizara sasa mnafungia magazeti!
 
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).

12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg
sio mbaya.. hili gazeti ni mipasho na kuzungusha maneno yaani linaboa. wanajidai ni upelelezi lakini zaidi ni uzushi wenye nia mbaya. jamaa yangu mchadema anajua mimi ni critique anataka kila akinunua nisome. hamna upelelezi mle ni half truths na urongo wenye lengo baya. huta mwanahalisi ni umbea zaidi kuliko kweli.
 
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).

12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg
wamechelewa sana lilipaswa liwe limefingiwa kuanzia mwaka jana mwezi 7
 
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).

12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg

Kwaiyo gazzeti likiandika habari za kweli linafungiwa ndo suluhisho?
Hakuna asiyetambua kwa sasa kwamba machafuko yananukia Zanzibar dalili zote zimekwisha onekana
 
Wananchi tuna haki ya kuishitaki Serikali kwa kosa la KUCHELEWA kufungia kipeperushi hiki kilichokithiri kwa uongo na uchochezi. Kiliaminisha Nyumbu wote eti Taarifa za ndani zinasema Maandalizi yote ya kumtangaza Maalim Seif Mshindi wa Uchaguzi 2015 yamekamilika na atatangazwa kabla ya sherehe za Mapinduzi i.e January 12!!!
Kilijaribu kumchonganisha Mh. Rais Magufuli na Mh. January.

Huyu Kubenea kupitia Kipeperushi cha Mwanahalisi aliwahi kuandika Lowassa na Rostam Azizi wanamtumia Ridhwan Kikwete kumpindua Baba yake ( Mh. Kikwete).
 
Ukweli utajuilikana mahakamani
 
Wamekuwa wakiandika taarifa na habari za uongo na kuchafua watu

Kwa mfano kuna siku wametoa picha ikidai ni Mkuu wa Wilaya Mr Makonda akimfuta viatu Riziwani Kikwete, kumbe yule siyo Makonda bali ni mfanyakazi wa mwanamitindo Ngowi.

Majuzi wametoa gazeti lenye kuchwa cha habari " Seif Raisi" , wakadanganya kuwa imekubalika kuwa Seif ndo atakuwa raisi ajaye kumbe uongo

Gazeti toleo jingine wakaja na habari ya uongo kuwa "Hosea kuburuzwa Kortini" wakati ni uongo mtupu.
 
Hicho unachokiita uchochezi hakiwezi kunyamanzishwa kwa kufungia Gazeti.Labda ungewafunga waandishi wake ambao wamebobea katika habari za kiuchunguzi.

Yapo magazeti mengi yaliyosajiliwa ambayo hayapo sokoni kwa sababu yameshindwa kukidhi mahitaji ya soko.Kwa namna ileile iliyotumiwa na waandishi wa Mwanahalisi kwa kununua haki za Mawio na kuanza kulichapisha na kukamata soko la habari nchini,ndivyo hivyo hivyo Tutatumia Gazeti lingine ambalo limesajiliwa lakini halipo sokoni,tutanunua haki zake na tutarudi sokoni tena kwa kishindo zaidi.

Iko wapi serikali inayojinasibu kupambana na majipu? Kama kweli mnapambana na majipu,mbona mnaizima nuru pekee iliyokuwa inawasaidia kumulika hayo majipu?

Ngoja niishauri serikali,njia pekee ya kuwanyamanzisha waandishi wachokonozi ni Kifo.Ni bora iwapige kitanzi wafe,lakini kwa kulifungia Gazeti lao wakadhani wamewanyamanzisha ni kujidanganya.Imeandikwa:"Ukimzuia mtetezi wa wanyonge kupaza sauti za utetezi hata mawe yatapaza sauti"-Kulifungia mawio si mwisho wa makala za kiuchunguzi,waandishi walewale wabobezi watarejea ndani ya muda mfupi kupitia Gazeti jingine nasi wasomaji tupo tayari kulinunua hata kwa sh.2000/ili tuendelee kuisoma serikali na sarakasi zake za kubaka demokrasia.
Tatizo LA gazeti LA Mawiyo halimsifu baba Bombe
 
Kitakachofuata utasikia sheria mpya ya kutambua waandishi wa habar, hapa utasikia ili utambulike na baraza la habar lazima uwe na kiwango cha elimu kisichopungua diploma, sasa kama yale ya elimu ya hapa na pale ni kweli tutarajie mtifuano mkali
 
Journalism yetu ni sekta ambayo haijapitiwa pembeni na uozo uliojaa kwenye sekta nyinginezo. Full ukanjanja, unatoa picha unasema kwenye picha anayeonekana ni fulani kumbe si kweli. Badala ya kujenga hoja kwa kuweka msisitizo kwenye powers of ideas waandishi wetu wanahangaika kuwaandika watu na maisha yao ya kila siku. Uandishi wa habari ambao ni wa kiwango duni unachangia katika kujenga tabia ya watanzania kuwaongelea watu badala ya uwezo wao kikazi na kitaaluma. Tunapenda sana udaku kwa sababu media inatujaza akili za kupenda udaku, jamii yetu inakuwa ya kimbeambea kwa sababu media inatufundisha umbea badala ya kutujenga tukawa na tabia za kujadili hoja nzito.
 
Bado lile la chadema pale club billz kwa huku dadadeki
Nape saluuuuuuute wa kukaya
 
DU HATARI HII.UHURU WA MAWAZO HUO UNAFYEKWA TZ KWANINI TUISHI KAMA TUNATAWALIWA NA AKINA KAGAME
 
Back
Top Bottom