Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

This time ndo imetoka hiyo,kumbuka wakati ule hii sheria ya habari nas makosa ya mtandaoni ihaikuwepo.Jaribu na wewe uchemke upigwe pin halafu ukalie mahakamani kama utachomoka.
Mwanahalisi walishinda kesi kwasababu hiz sheria za ccm zinakinzana na katiba ya nchi so ,serekali itashindwa kesi tena
 
nape bana..hata muhuri hajaweka ili tuamini!!!kaguswa mtoto wa mfalme jinsi alivyokuwa anagawa vyeo baada ya kufungwa kamba za viatu na kubebwa na daudi bashite..
 
Mwanahalisi walishinda kesi kwasababu hiz sheria za ccm zinakinzana na katiba ya nchi so ,serekali itashindwa kesi tena

Sheria imeshabadilika, umeshaisoma sheria hii mpya? Ndo maana hapo umenadikiwa Permanently. Kwahi usitegemee hilo.
 
Sheria imeshabadilika, umeshaisoma sheria hii mpya? Ndo maana hapo umenadikiwa Permanently. Kwahi usitegemee hilo.
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchi
 
Sheria ya vyombo vya habar,wasije wakarudia makosa yale yale ya mwanahalisi ambapo wanapaswa kumlipa jamaa pesa mingi mingi tena level ya bilioni
 
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchi

Wameshaibadilisha mkuu, soma hilo tangazo lao la kufungiwa na hivyo vifungu, ni tofauati na vile vya mwanzo. Ndo maana wanasema hata kwenye mtandao halitakiwi.
 
Wameshaibadilisha mkuu, soma hilo tangazo lao la kufungiwa na hivyo vifungu, ni tofauati na vile vya mwanzo. Ndo maana wanasema hata kwenye mtandao halitakiwi.
Nimesoma ila sioni mantiki tusibir wanasheria wanasemaje ,ila ukumbuke hii inakinzana na katiba ya nchi ya mwaka 1977.
 
Yaani kulifungia hilo gazeti kisa ni kuweka picha ya Rz1 akifungwa kamba za viatu na Makonda au kuna jingine?
 
Back
Top Bottom