Na Star TV, Uhuru na RFA wamepangwa fungiwa kwa sababu gani?gazeti limefungiwa kwa sababu halisapoti ccm.
Kufungiwa kwa MAWIO ni vita kati ya Serikali ya CCM na UKAWA(Gazeti linamilikiwa na Saed Kubenea Mbunge wa UKAWA kupitia CHADEMA!Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.
============
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).
![]()
Na siku watakaposhinda kesi mahakamani uje na habari zako za kumpongeza NapeKwa kweli gazeti Hilo ni la kizushi Sana. Habari zake nyingi hutokana na uvumi tu wala si utafiti
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Umeonasafiiii ilo gazeti limekua sani au kiu,,bado iyo mwana halisi nayo wairudie
Hili nalo limekuwa jangaNasubiri mwanahalisi, watanyoooka tuu
Sio kwa mawioYaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Rufaa bado haijasikilizwa.Mfenela mkandara kasababisha hasara ya billions kadhaa,
Kila siku zitto,zittoHabari kwenu wakuu
Lile gazeti chochezi la saed kubenea , mzee wa elimu ya hapa na pale aliyesoma vyuo vya hapa na pale lafungiwa rasmi Jana 15/01/2015
Ushahidi huu hapa
Kubenea atatulia tukwa jinsi kichwa cha Nape kiliivyo nlijua lazima afungie nabado atashindwa kesi mahakamani
Nalenyewe punde litafuatwaMwanahalisi ipo hahahahaha ccm hamjapona
Uhuru ulizidi kipimoHuu ni uhuni ,ndo maana hata wamereka wemetunyima fedha za mcc.....ila gazet limefungwa kwa kutumia sheria ya magazet
Upo sawavyombo vya IPP vikae macho.........ni ushauri tu
Nyie kwasababu hamuumii na shida za watanzania tuambien ilefidia ya mwanahalisi analipa nan ???Sio kwa mawio