Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,706
- 8,875
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.
============
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).