Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Nimesoma ila sioni mantiki tusibir wanasheria wanasemaje ,ila ukumbuke hii inakinzana na katiba ya nchi ya mwaka 1977.
Ni kweli, lakini naona kuna kipengele fulani kilibadilishwa ndo wanapovibania hapo vyombo vya habari. Mimi huwa siungi mkono kufungiwa kwa vyombo vya habari na pia siungi mkono habari za upotoshwaji kwa jamii.
 
Duuh poor nape[/QUOT

We ngoja ukute wamechemka kama ilivyokuwa kwa Kubenea alafu waanze kuingizia Serikali hasara ya mabilioni mengine ya shilingi. Still wating for a next episod.
 
Habari ipi ilikuw ya upotoshaji? kumbuka mahakama itaitisha ushahid...... hivi kati y sheria na katiba kipi ni zaid ya mwenzake ??
 
Duuh poor nape[/QUOT

We ngoja ukute wamechemka kama ilivyokuwa kwa Kubenea alafu waanze kuingizia Serikali hasara ya mabilioni mengine ya shilingi. Still wating for a next episod.
 
Duuh poor nape[/QUOT

We ngoja ukute wamechemka kama ilivyokuwa kwa Kubenea alafu waanze kuingizia Serikali hasara ya mabilioni mengine ya shilingi. Still wating for a next episod.
 
Mbona hamsemi kuhusu magazeti na redio za fisiem zilizofungiwa kwa kukwepa kodi .mlidhani ule wimbo mlikuwa mnawaimbia ukawa sasa mtaisoma namba wenyeww. Mwanahalis ipo tutaendelea kuisoma mkiifungia nayo basi tunaanzisha lingine
 
Safi sana, tena Wasilifungue kabisa kwa sababu linadhalilisha watu kinyume na maadili ya uandishi wa habari
 
Ndo madaraka ya kupeana hayo,, hawajajifunza kupitia mwanahalisi bado.
 
Mbona hamsemi kuhusu magazeti na redio za fisiem zilizofungiwa kwa kukwepa kodi .mlidhani ule wimbo mlikuwa mnawaimbia ukawa sasa mtaisoma namba wenyeww. Mwanahalis ipo tutaendelea kuisoma mkiifungia nayo basi tunaanzisha lingine

Haya ndo maneno ya msingi na ukweli ndo kama ulivyo,
 
Hasira za kukosa umeya!! hahaha..na bado watatufungia mpaka nje ya nyumba zetu..ngoja tumuonyeshe.
 
Tusiwe wepesi kupongeza na kukebehi ni lazima tuulize ni sababu gani hasa za muhimu ambazo Mawio limekiuka?
 
Back
Top Bottom