Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Tatizo lenu mmezoea na kwa uhakika mnapenda kusifiwa kupita kiasi
Mkiambiwa ukweli kuwa nguo zenu zandani zinanuka,mnakasirika na kufungia gazeti
 
Nampongeza kwa dhati Waziri NAPE NNAUYE kwa kupambana na uandishi usio na adabu wala Uzalendo kwa Nchi na Viongozi wake. Kwa muda mrefu sana baadhi ya Magazeti yamekuwa yakiandika habari za kipuuzi bila kuzingatia weledi na taaluma ya uandishi wa Habari. Mkakati wa magazeti mengi sasa ni kuuza tu bila kujali athari ya habari hizo kwa Jamii. HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA.
Na tunamuomba aishauri serikali iyape ruzuku magazeti " makini' kama Uhuru, Mzalendo na Tazama ili yaendelee kutupatia habari za " kizalendo" na "ukweli".
 
mkuu kuna athari mbaya kama kupora madaraka ?
Unaonaje ungelaani mfumo wa CCM unaong'ang'ania tume za uchaguzi(NEC na ZEC) za kidhalimu zilizogubikwa na giza ?
tume ambazo zimeligawa taifa kwa kuwagawa wananchi hadi wanauwana,mfano mauwaji ya kisiasa ya Mawazo.
Unapongeza hatua ya Nape kulifungia Mawio,ivi hujui kwamba Mawio limeseme ukweli ?
Ivi unajua kwamba hali ni mbaya Zanzibar ?
naomba nikujulishe hadi muda huu Mashekha wawili wameshauwawa Zanzibar kwa mapanga.
 
Hii Nchi ina utawala imara siyo Taifa holela!!! Hata
nyumbani kwako na watoto wako kuna utaratibu wa kuzingatia na nidhamu ya nyumba pia
 
Kaka Zanzibar ni Nchi yenye madaraka kamili. Matatizo yao watayamaliza wenyewe!! Ila kufutwa MAWIO ni vema na haki!!!!
 
Back
Top Bottom