Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

zitto kashindwa kupambana na nondo za uhakika za kubenea hadi kaenda kumpigia magoti vuvuzela alifungie mawio...kubenea 3 zitto 0
tunahamia mwanahalisi tukisubiri mabilioni ya fidia kwa mawio
Zitto hakucheza huo mchezo na kichaa kama Kubenea
Zitto lini amewahi kumjibu kubenea!?
Kubenea ni kundi la mazuzu ya chadema hawezi kumsumbua mtu
 
Huu ni uhuni ,ndo maana hata wamereka wemetunyima fedha za mcc.....ila gazet limefungwa kwa kutumia sheria ya magazet
Sheria ya magazeti (1976) ni moja ya sheria za kipuuzi sana za Jamhuri hii tukufu. Ni moja ya sheria zilizo katika orodha ya kufutwa, katika ile ripoti ya tume ya Jaji Francis Nyalali (RIP).
 
Kwa kweli Mawio walikosa weredi na walikiuka misingi ya uandishi wa habari maana kila siku wanajadili na kuandika majina ya watu badala ya issue, lakini Waziri aangilie na magazeti mengine kama vile UHuru, uwazi, Sani, hata haya sioni wanaandika nini.
 
Ninyi nyote mnaoshangilia gazeti la mawio kufungiwa, mje mshangilie tena siku wakishinda kesi mahakamani. Tatizo la serikali yetu imejaa wakurupukaji !
 
MOTO CHINI mnaitaka Tanzania ya namna gani ?!. Makosa ya watawala yasiguswe ?! Kama issue ni Zanzibar si ni kweli mmebaka democrasi kwa kisingizio cha usultani wakati mnachofanya ni USULTANI.

Furaha yenu ni kuwa na WaTz waliolala. MAWIO, MWANA HALISI etc wakiwaamsha hamuelewi. Mna siasa za uke wenza
Tatizo Kubenea ni mwongomwongo sana. Alituaminisha miaka minane kuwa Lowasa ni fisadi,juzi kasema sio kweli bali alituongopea!
 
hiyo sio serikali ya mkwere usijitoe ufaham na wew
Serikali ya ccm ni ilele tu haijalishi anaongoza nani ! Mkangala Fenela hakuwa na hana tofauti na Nape kwa kukurupuka. Kinachoniuma mimi ni kodi zetu tu, nape wala wewe shabiki wake hamtakuwa hasara.
 
Awamu ya Tano ni mwendo wa SHERIA na KANUNI. Kinyume cha hapo tusilaumiane. Pongezi kwa Mh. Nape kwa kutumia sheria na kanuni zilizopo kukabiliana na uvunjifu wa sheria na maadili.
 
Hili mawio kwa maoni yangu wamelichelewesha sana hili ni zaidi ya Tanzania daima Uhuru na hata magazeti ya simba na yanga,
Linafika hatua ya kupotosha jamii
Bora walivyolifungia uweledi wa habari zao ni wa kutiliwa mashaka.

Nimefurahiiiiiiiii saaaaaana bado mwanahalisi.
 
Nape big up! tumekuwa tukisema kuwa Kubenea mzee wa elimu ya hapa na pale ni fisadi wa uandishi wa habari. tena ikiwezekana hata Mwanahalisi lifungiwe tena na nipo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa nini lifungiwe. haiwezekani kwa miaka minane na ushee walikuwa wakituandikia kuwa Lowasa ni fisadi. halaf leo eti kageuza mawazo kuwa Lowasa sio tena fisadi wamemsafisha. upumbaf na ulofa huu. tena ningekuwa mimi Lowasa ningempeleka Kubenea mahakamani anilipe fidia kwa kunidhalilisha na kushusha heshima na utu. haiwezekani. Lissu aliandika List of shame, ndani yake Lowasa yumo. hivi alikuwa anamaanisha utani tuu? ? sio kweli? ??? ushenzi mtupu makanjanja kama hawa wanatakiwa wafungwe milele kwa ustawi wa taifa hili
 
Back
Top Bottom