Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Nasubiri mwanahalisi, watanyoooka tuu
kwenye umea mmepigwa nyaka nyaka nazani mnawaza ilikuaje, then sasa maleta nahizi za kusadikika tena. haya bana endeleeni mkidhani Kubeenea hajui analofanya. Time will tell
 
kubinya uhuru wa vyombo vya habari, selikari ya ccm haitaki kukosolewa
 
Habari kwenu wakuu

Lile gazeti chochezi la saed kubenea , mzee wa elimu ya hapa na pale aliyesoma vyuo vya hapa na pale lafungiwa rasmi Jana 15/01/2015
Ushahidi huu hapa

Nahisi baro ni kama umtumwa hivi wewe, hebu jitambue na uacho uzembe wa mawazo bana
 
Habari ipi ilikuw ya upotoshaji? kumbuka mahakama itaitisha ushahid...... hivi kati y sheria na katiba kipi ni zaid ya mwenzake ??
Sijasema kuna habari ambayo ninaushahidi nayo kuwa walipotosha, kwanza mi si msomaji mzuri wa magazeti ya hapa nchini nacheza sana na yale ya kwa wenzetu. Katiba ndio kila kitu Mkuu.
 
Wakati waziri wa Habari Ana jiandaa kupeleka mswada wa Habari bungeni ulio subiliwa na wadau wa Habari Kwa muda mrefu Leo hiii Ana lifungia gazeti la mawio
 
Sijasema kuna habari ambayo ninaushahidi nayo kuwa walipotosha, kwanza mi si msomaji mzuri wa magazeti ya hapa nchini nacheza sana na yale ya kwa wenzetu. Katiba ndio kila kitu Mkuu.
Kumbuka tumenyimwa fedha za mcc pia kwasababu kwa sheria mbovu za makosa ya mitandao..
 
kabla sijatoa maoni yangu juu ya kufungiwa kwa gazeti hilo la MAWIO.Ningependa kufahamishwa sabanu zilizopelekewa kufungiwa kwa gazeti hilo, hiyo itasaidia wananchi tuweze kuzijadili kama ni sababu za msingi au ni uwonevu.
 
Sheria ya vyombo vya habar,wasije wakarudia makosa yale yale ya mwanahalisi ambapo wanapaswa kumlipa jamaa pesa mingi mingi tena level ya bilioni.
Najua itaendaaaa litafunguliwa tu,mwanahalisi lilifungiwa kwa miaka 3 TUKASAHAU
 
kabla sijatoa maoni yangu juu ya kufungiwa kwa gazeti hilo la MAWIO.Ningependa kufahamishwa sabanu zilizopelekewa kufungiwa kwa gazeti hilo, hiyo itasaidia wananchi tuweze kuzijadili kama ni sababu za msingi au ni uwonevu.
Sababu ni kukiuka madili ya uandishi
 
Kumbuka tumenyimwa fedha za mcc pia kwasababu kwa sheria mbovu za makosa ya mitandao..
Mkuu sheria za nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanzania sijawahi kuzielewa, huwa zinaanzishwa kwa ajili ya maslahi ya kikundi au watu fulani. Kifupi hakuna Freedom of Press in Africa. Bado Afrika inahitaji mapinduzi ya fikra kwanza.
 
Nashangaa sana ,na mbona kuna magazeti mfano Tazama ,uhuru na mkakati kazi yao kuandika uzushi kuhusu wapinzani.lakini hayaguswi....?? star tv kipindi cha kampen ilikuwa ina mdhalilisha mgombea wa ukawa lakini hawakushughulikiwa ,ila mawio kuweka picha ya makonda akimfunga viatu Riz1 imekuwa nongwa nimeamin no freedm of speech in Tanzania japo tuliridhia mikataba ya UN
 
Kuna vitu katika nchi hii vinatia hasira we acha tu, ndo maana wengine tunaamua kutumia muda mchache hapa na muda mwingi tunajaribu kutafuta maisha sehemu nyingine. Ila kaa ukiamini itakuja siku haya yote yataisha tu, inaweza isiwe leo au kesho, lakini lazima mabadiliko ya kweli yataikumba Tanzania siku moja.
 
Mkuu sheria za nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanzania sijawahi kuzielewa, huwa zinaanzishwa kwa ajili ya maslahi ya kikundi au watu fulani. Kifupi hakuna Freedom of Press in Africa. Bado Afrika inahitaji mapinduzi ya fikra kwanza.
Kweli mkuu nakubaliana na wewe,maana huwezi kumuadhibu mtu bila kumfahamisha unamuadhibu kwa makosa gani,vinginevyo atarudia hayo hayo,.Na lengo na adhabu ni kumfanya mtu asirudie makosa tena.
 
Kuna vitu katika nchi hii vinatia hasira we acha tu, ndo maana wengine tunaamua kutumia muda mchache hapa na muda mwingi tunajaribu kutafuta maisha sehemu nyingine. Ila kaa ukiamini itakuja siku haya yote yataisha tu, inaweza isiwe leo au kesho, lakini lazima mabadiliko ya kweli yataikumba Tanzania siku moja.
Na hakuna nchi yenye maendeleo ya kwel kama demokrasia ianabakwa Nape amekuwa kikwazo cha maendeleo yetu na historia itamhukumu
 
Naipongeza serikali kwa kulifungia hili gazeti la uchochezi!!!

Hicho unachokiita uchochezi hakiwezi kunyamanzishwa kwa kufungia Gazeti.Labda ungewafunga waandishi wake ambao wamebobea katika habari za kiuchunguzi.

Yapo magazeti mengi yaliyosajiliwa ambayo hayapo sokoni kwa sababu yameshindwa kukidhi mahitaji ya soko.Kwa namna ileile iliyotumiwa na waandishi wa Mwanahalisi kwa kununua haki za Mawio na kuanza kulichapisha na kukamata soko la habari nchini,ndivyo hivyo hivyo Tutatumia Gazeti lingine ambalo limesajiliwa lakini halipo sokoni,tutanunua haki zake na tutarudi sokoni tena kwa kishindo zaidi.

Iko wapi serikali inayojinasibu kupambana na majipu? Kama kweli mnapambana na majipu,mbona mnaizima nuru pekee iliyokuwa inawasaidia kumulika hayo majipu?

Kulifungia mawio si mwisho wa makala za kiuchunguzi, waandishi walewale wabobezi watarejea ndani ya muda mfupi kupitia Gazeti jingine nasi wasomaji tupo tayari kulinunua hata kwa sh.2000/= ili tuendelee kuisoma serikali na sarakasi zake za kubaka demokrasia.
 
Du hata hivyo serikali imelivumilia sana,maana haikuwa habari za uchunguzi ila majungu ya uchunguzi
 
Kwa hiyo huyo Nape huwa hauoni uchochezi unaofanywa na Uhuru na Tazama.
Tunachofahamu ni kuwa hilo gazeti la Mawio ni la kiuchunguzi, kwa hiyo kama Nape anaona kuna habari za uwongo zimechapishwa na gazeti hilo angelipeleka mahakamani, kwa kuwa huko ndiko kungejulikana mbivu na mbichi.
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika huwa wanataka vyombo vya habari viwaandike kwa mazuri pekee, kinapotokea chombo cha habari chenye mlengo wa kukosoa serikali iliyoko madarakani kwa nia njema na kwa maslahi mapana ya Taifa ili serikali hiyo ijirekebishe, viongozi wa ki-imla huwa wanakuwa 'mbogo' kama alivyofanya Nape kwa kushusha rungu kwa Mawio.
 
Hicho unachokiita uchochezi hakiwezi kunyamanzishwa kwa kufungia Gazeti.Labda ungewafunga waandishi wake ambao wamebobea katika habari za kiuchunguzi.

Yapo magazeti mengi yaliyosajiliwa ambayo hayapo sokoni kwa sababu yameshindwa kukidhi mahitaji ya soko.Kwa namna ileile iliyotumiwa na waandishi wa Mwanahalisi kwa kununua haki za Mawio na kuanza kulichapisha na kukamata soko la habari nchini,ndivyo hivyo hivyo Tutatumia Gazeti lingine ambalo limesajiliwa lakini halipo sokoni,tutanunua haki zake na tutarudi sokoni tena kwa kishindo zaidi.

Iko wapi serikali inayojinasibu kupambana na majipu? Kama kweli mnapambana na majipu,mbona mnaizima nuru pekee iliyokuwa inawasaidia kumulika hayo majipu?

Ngoja niishauri serikali,njia pekee ya kuwanyamanzisha waandishi wachokonozi ni Kifo.Ni bora iwapige kitanzi wafe,lakini kwa kulifungia Gazeti lao wakadhani wamewanyamanzisha ni kujidanganya.Imeandikwa:"Ukimzuia mtetezi wa wanyonge kupaza sauti za utetezi hata mawe yatapaza sauti"-Kulifungia mawio si mwisho wa makala za kiuchunguzi,waandishi walewale wabobezi watarejea ndani ya muda mfupi kupitia Gazeti jingine nasi wasomaji tupo tayari kulinunua hata kwa sh.2000/ili tuendelee kuisoma serikali na sarakasi zake za kubaka demokrasia.
Safi sana kama watafungia mengine wabakize uhuru mm wala sitasoma magazeti tena
 
Back
Top Bottom