Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

I don't support a ban against this newspaper because it's undermining the freedom of expression but to be honest Mawio Newspaper has lost all the respect and credibility it had before due to its backpedaling on Lowassa's issues. It used to be against him before it was for him.
 
Amelipaisha tu kulifungia...kuna watu zaidi ya CDM walikuwa wanasoma hilo gazeti????!!!!!
 
hawajafanya kitu...hapo litabadilishwa jina na kuitwa machweo...mambo mdundo kama kawaida
 
Journalism yetu ni sekta ambayo haijapitiwa pembeni na uozo uliojaa kwenye sekta nyinginezo. Full ukanjanja, unatoa picha unasema kwenye picha anayeonekana ni fulani kumbe si kweli. Badala ya kujenga hoja kwa kuweka msisitizo kwenye powers of ideas waandishi wetu wanahangaika kuwaandika watu na maisha yao ya kila siku. Uandishi wa habari ambao ni wa kiwango duni unachangia katika kujenga tabia ya watanzania kuwaongelea watu badala ya uwezo wao kikazi na kitaaluma. Tunapenda sana udaku kwa sababu media inatujaza akili za kupenda udaku, jamii yetu inakuwa ya kimbeambea kwa sababu media inatufundisha umbea badala ya kutujenga tukawa na tabia za kujadili hoja nzito.

Mkuu KWA HESHIMA NA TAADHIMA KABISA NAOMBA RUHUSA YAKO HAYA MAANDIKO YAKO NIWE NAYO KTK KUMBUKUMBU ZANGU WA MAWAZO YA WATU WENYE AKILI KUBWA, NYINGI NA ZILIZOTUKUKA. Na Pia Naomba RUHUSA Yako Niwe Nayatumia HUKO NINAPOKUWA Kama Reference Ya UOZO WA JOURNALISM Nchini Tanzania Na Nitakuwa Nina Acknowledge Hilo Jina Lako Hapo Japo Sijui Kama Ndilo La Kweli au Ni La JF Tu Pekee. ULICHOKIANDIKA HAPA KWANGU KINA THAMANI NA MAANA KUBWA MNO NA HAKIKA MKUU WEWE KICHWANI UPO VIZURI HADI NAKOSA KUKUELEZEA KWANI LEO KWA ANDIKO LAKO HILI UMENIKUNA HADI NIKAKUNIKA. Pongezi Sana Kwa WALIOKUZAA, KUKULEA Na WALIMU WAKO WOTE WALIOKUFUNZA KWANI UPO VIZURI. Laiti Siku Zote JF INGEKUWA NA WATU WA AINA YAKO WALA NISINGEKUWA NAPATA TAABU KUGOMBANA NA MIJITU HUMU AMBAYO BAADHI YAO IMEJAA UPOPOMA TUPU. Nasubiri Ruhusa Yako Mkuu Ili Niweze KUKIKOPI HIKI ULICHOKIANDIKA KWA FAIDA YANGU YA BAADAE KAMA MWANA TAALUMA Na Nitashukuru Sana. Umeifanya JUMAPILI Yangu Ya Leo Iwe Tamu, Nzuri Na Murua Kabisa Akhsante.
 
Kaka nashukuru sana kwa kuyakubali maandishi yangu, umeifanya Jumapili yangu iwe nzuri kuanzia asubuhi. Kikopi hicho nilichokiandika na kitumie, kwani ukikitumia mimi na wewe tunakuwa tunajenga Tanzania iliyo bora zaidi. Gentamycine tupo pamoja, nakutakia Jumapili njema na wiki ijayo iliyo njema pia.
 
Naunga mkono hoja , lakini pia ofisi ya chadema pale ufipa ni mbaya mno napendekeza Mbowe apunguziwe mshahara, pia na ile kodi aliyopata baada ya kuuza chadema kwa lowasa nayo iwekwe wazi ili chama kijenge ofisi nzuri.

Ni aibu chama kina miaka 24 lkn ofisi yake utafikili ni bafu.

Wenu kinda la chadema
 
Tatizo hivi vyuo vyetu vinatutolea wasomi wahajabu ktk taaluma ya habaria nandio mana ukisoma vichwa vya habari haviendani natarifa yandani mwisho wasiku ndio haya yanatokea
 
Kaka nashukuru sana kwa kuyakubali maandishi yangu, umeifanya Jumapili yangu iwe nzuri kuanzia asubuhi. Kikopi hicho nilichokiandika na kitumie, kwani ukikitumia mimi na wewe tunakuwa tunajenga Tanzania iliyo bora zaidi. Gentamycine tupo pamoja, nakutakia Jumapili njema na wiki ijayo iliyo njema pia.

AKHSANTE NA HESHIMA YAKO SANA MKUU PHILLIPO BUKILILO. NDIYO MAANA NAIPENDA JF HADI NAKESHA HUMU 24/7 KWANI KUNA RAIA WANA UWEZO MKUBWA NA WA AJABU WA AKILI, MAONO NA KUJENGA HOJA ZA KIMANTIKI KABISA. NA NISIFICHE TOKEA NIANZE KUINGIA HUMU NAONA KAMA VILE UWEZO WANGU WA KUFIKIRI ULIOKUWA 120% SASA UMEONGEZEKA NA KUWA 300% KWANI HUMU KUNA WATU NI VICHWA HADI RAHA. NIMEJIFUNZA VINGI NA MAMBO MENGI MNO HUMU NA BADO NAENDELEA KUJIFUNZA NA NIMEGUNDUA UKITA KUWA GREAT THINKER HUKO NJE AU URAIANI WEWE KUWA NA TABIA YA KUSHINDA TU HUMU JF UTAWAOKOTA KWELI MAPOPOMA KITAA. KUNA WAZEE WATU WAZIMA KABISA HAPA MTAANI KWANGU WANANIAMINI NA KUNIONA MIMI NI BONGE LA JEMBE KTK KUJENGA HOJA NA KUTOA MAWAZO KUNTU LAKINI LAITI WANGEJUA KUWA SHULE NINAYOIPATA HAPA JF NI ZAIDI YA HAVARD NA OXFORD UNIVERSITY. Hivi Mtani Wangu Wa Kihaya @Mexence Melo Na Shemeji Yangu Wa Kichagga Mike mushi MLIFIKIRIA NINI HADI MKAAMUA KUANZISHA HII KITU? Hivi Mnajua Kuwa MNACHANGIA KWA 100% KUWAENDELEZA WATU KIELIMU, KIUFAHAMU NA KIBURUDANI? Nadhani Ipo Haja Sasa MEMBERS Wote Wa JF TUFANYE KITU KAMA ASANTE NA CHA KUWAPONGEZA HAWA JF FOUNDERS KWA HIZI JUHUDI ZAO. Mimi Ndiyo Nitakuwa Mwana KAMATI MKUU ( Ole Wako Wewe Utakayenipinga ), Watunza Fedha Ni Nifah Na miss chagga ( Ila Kazi Ipo Hapa Ukizingatia Wote Ni Wa Kule Kule ), Wakati Mlinzi Atakuwa Super Handsome ( Mliozoea Kuzamia Kazi Hapa Mnayo ), Msemaji Wa Kamati Mussolin5 ( Ila Mtakaokuja Na Wapenzi Wenu Kuweni Makini ), Mlezi / Mshauri FaizaFoxy ( Ila Mtakaokuja Mmevaa Vibaya Mjiandae Kwa Maneno Ya Shombo ), Mbeba Mizigo Na Mtunza Store Atakuwa UncleBen ( Ila Hakikisheni Tu Wahudhuriaji Mnakuwa Makini Na Mizigo Yenu ) Na Mburudishaji Wa Pale Ukumbini Hasa Kucheza EKOTITEE Atakuwa Vitaimana ( Ila Mtakaokuja Na Wake Zenu Angalieni Tu Msivunje Ndoa Zenu ) Na Wengine Wote Ambao Hamjatajwa Hapa Kazi Yenu Itakuwa Ni Kukusanya MICHANGO Kutoka Kwa Members Wote ( Na Ole Wenu Michango Isitimie au Muibe Na Party Isifanyike ).

Siku Ambayo Nitaacha Kuipenda JF Ni Pale Ambapo NITAFUKIWA KABURINI Ila Kwa Sasa Bado Nipo Sana Tu.
 
Hiyo takataka walichelewa sana kuifungia vitumbua, na mwanahalisi nalo liende lupango
 
GENTAMYCINE katika yote uliyoongea umenigusa sana pale mwanzo.
JF ni zaidi ya shule,hata mimi huku kitaa naheshimika kama 'mjuzi mambo'.
Kipi nisichokijua?Zaidi najiamini sana.
JF ni kama familia/shule na jamii yangu.
Ipo siku nitakuja na uzi wa JF ilivyonisaidia....hamtoamini macho yenu!
 
Kwani ungetegemea nini kutoka kwa Nape.He simply does not qualify for the post.Tutegemee mikurupuko, mihemko na michanganyo ya siasa na serious issues of government.Nape ni aibu ya CCM.
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).

12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg

Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Hebu thibitisha hili
 
nape ameanza vibaya sana kwenye ngazi ya uwaziri,lkn tulijua huyu kwa tabia zake lazima atalifungia gazeti ambalo aliandiki habari za ccm
haki itatendeka tu huwezi kuzuiya mafuriko kwa mkono
Ndgu yang uko nchi gani, na nimafurko gani ambayo hayaishi? Mbna hapa tz yalishawahi kuzuiliwa kwa toilet paper
 
Naunga mkono hoja , lakini pia ofisi ya chadema pale ufipa ni mbaya mno napendekeza Mbowe apunguziwe mshahara, pia na ile kodi aliyopata baada ya kuuza chadema kwa lowasa nayo iwekwe wazi ili chama kijenge ofisi nzuri.

Ni aibu chama kina miaka 24 lkn ofisi yake utafikili ni bafu.

Wenu kinda la chadema
Ni kweli kabisa chama chetu cha Chadema kimekuwa cha matapeli tu
 
Taratibu Magufuli ataelewa kelele za Watu dhidi ya Nape ni ya nini!.
Kwa hali ya mambo ilivyo na kwa Dunia ya leo una hitaji Waziri wa habari aliye Makini na mtu anayeheshimika na Jamii .Hata kwa hizi Sheria mbovu ukiwa na mtu makini unaweza kujiepusha na hizi Figisu figusu zisizozalazima.
 
safiiii ilo gazeti limekua sani au kiu,,bado iyo mwana halisi nayo wairudie
Sauti ya wasiokuwa na sauti leo imezimwa rasmi. Makala yake yalikuwa mwiba na yanawakera watawala. Mwaka huu tutaisoma namba. CCM mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom