Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

leo ngoja nipite kimya tu ila mkimuona yule jamaa wa hapa na pale mpeni pole
 
Gazeti La Mzee Mwenye Elimu Ya Hapa Na Pale.Mdomo Kama Anapiga Filimbi Au Anasema Tununu.
 
Never trust a politician; huyu Nape statement ya kwanza kati ya zile alizozitoa alipochaguliwa kuwa waziri wa habari ni kuwa SINTAFUNGIA GAZETI LA HABARI HATA MOJA, lakini leo hii amekula matapishi yake!!
 
Kwa wanaotetea ujinga,umamluki,utumbo juu na uzezeta wa uchambuzi hewa wa mawio na kilaza kubenea wa form 4 b mmepotea,lifungwe Tu maana haiwezekani miaka yote tusome gazeti la form four drop out!!!
 
Heshima aliyokuwa nayo kube 2008na sasa ni tofaut kabisa yaani jamaa amejidhalilisha sana mpka anakosa wa tetezi ,pole sana kube edo amekuponza
 
Serikali ya Marekani yahitaji kuiga uongozi wa Magufuli

Kwa kuvifungia vyombo vya habari kama Fox News

Inayoongoza katika kuiponda serikali ya Obama!

Nilikuwa naota tu...
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kutoa taarifa za uwongo kuhusu serikali na kuandika yanayoikosoa serikali!!

Magazeti yanafika sehemu nyingi zaidi popote duniani kwa sasa, be it electronic magazine ama hard copy. ...Sasa unapotumia magazeti kuandika uwongo (mfano *Maalim Seif atangazwa kushinda Urais*) ni Sawa na kutaka vita na mhimili wa sheria ambayo serikali ndio mshika usukani!!

Investigative journalism is so much more beyond tall tells & heresay! !
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu



Ha! Ha! Ha!

T.I.A
 
Nimegundua kila anayepambana na Zitto kwa chuki binafsi anaishia kwenye aibu hivi hamjanotice hicho kitu seriously.
 
nape ameanza vibaya sana kwenye ngazi ya uwaziri,lkn tulijua huyu kwa tabia zake lazima atalifungia gazeti ambalo aliandiki habari za ccm
haki itatendeka tu huwezi kuzuiya mafuriko kwa mkono
hahaha nyny 'vijana wa mzee' kwakweli huwa mnafurahsha xana, inabid mkubal 2 kuwa nape ni kiboko ya mzee wenu,mwaka jana mliimba xana kuwa "mafuriko hayazuliki kwa mkono" mwenzenu akawajibu kuwa "mafuriko yamezuiliwa kwa kalamu ya sh 200", kumbuken wakat huo alikua na cheo chamani tu, leo hii anavyeo kote kwenye chama na kwenye serikali ashndwe kuyazuia hayo mafuriko? tena kwa taarifa yenu nape anaweza kuyazuia hayo mafuriko yenu hata kwa mdomo tu.
 
Alichofanya Nape na Serikali ya Mafisi ya CCM ni ukandamizaji wa vyombo vya habari.Hapa TANZANIA tunadanganyana maana kiukweli hakuna UHURU wa media kabisa.
Seriksli ya Mafisi ya CCM haitaki kukosolewa wala kusahihishwa! Huu ni ujinga ambao laxima ukomeshwe!
hvi huo uhuru wa vyombo vya habar unautaka wa aina gan?, kwamba MENGI akikwaruzana na MUHONGO, akimbilie radio one na kuanza kutoa mipasho kwa mwenzie?, hebu 2mia akiri kidogo hv uliposoma habar ya makonda kumfunga kamba za via2 riz one, ww ilikusaidia nn?
 
Never trust a politician; huyu Nape statement ya kwanza kati ya zile alizozitoa alipochaguliwa kuwa waziri wa habari ni kuwa SINTAFUNGIA GAZETI LA HABARI HATA MOJA, lakini leo hii amekula matapishi yake!!
kwl mkuu, hii hapa nyngne MTU YEYOTE ANAYEMWUNGA MKONO LOWAXA, AKAPIMWE AKILI by mch.msigwa, mm nashaur si wanasiasa tu, bali hata wachungaj pia 2cwaamin
 
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).


12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg
Mwaka huu tutaheshimiana mjini.
 
Back
Top Bottom