Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Nape yupi anajua sheria au ni kuongea tu ?? Hata walivyolifungia mwanahalisi walikuwa na wanasheria ila wakabwagwa
Sheria ipi unataka wakati ilo gazeti la MAWIO limevunja katiba kwa kuandika uchochezi.
 
Mwanahalisi wamelipwa nini hivi Kubenea kawashikia watu akili sana, nchi inaendeshwa na sheria siyo uhuni na porojo .
unadhani watu ni wajinga kama mlivyo ninyi na CCM yenu...Wezi na wakwepa kodi.

unaijua court order ya mahakama kuhusu hukumu ya mwanahalisi?
 
Safi sana, tena Wasilifungue kabisa kwa sababu linadhalilisha watu kinyume na maadili ya uandishi wa habari
Ndugu,ni nani aliye dharirishwa kwani. Sheria zipo,ukionewa ama habari ya uongo unawashtaki. Ukweli hupatikana zile sio siasa. kinachoandikwa kinapaswa kiwe na kweli ndani yake. Tuache kushabikia vitu kama watu wasio na elimu.
 
Uhuru wa habari ni suala tata. Magazeti yanatakiwa kuandika habari zilikidhi haja. Lakini serikikali nayo inatakiwa kuacha kuzua habari ambazo ni kiu ya mwananchi kuzipata zikiwa ni za kweli.
Serikali isikurupuke na magazeti nayo yasiandike habari za uzushi. Habari ziwe na uhalisia na hazibagui au kuonea. Tatizo lingine ni kama kuna bifu kati ya tasnia ya habari na serikali wakati taasisi hizo zinatakiwa kuwatumikia wananchi kwa ukweli na uwazi.
 
Toa utumbo mawio kufungiwa kwako sherehe wakati ni muda wakutumbua msjipu simzitumie taarifa zao sio kuwafungia
Naona una kihoro kamanda
serikali ina vyombo vyake huo udaku wa mawio ni kufungia vitumbua tuu
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Usishangae mkuu, Nilileta uzi hapa ni jinsi gani Nape hafai kuwa waziri na kuwa magazeti yangefungiwa hovyo Nikashangaa kuona mods wamefuta Uzi wangu, Nape ni hopeless kabisa anaendesha wizara kwa chuki za kisiasa sasa ngoja atakiona cha moto rais Magufuli lazima amfukuze kazi maana serikali italipa tena mabilioni. Nape hovyo kabisa.
 
Hivi kuna watu/mtu na akili zake, ana familia/anategemea kuwa na familia alikuwa anasoma hili gazeti la mawio?

Eti gazeti la uchunguzi alafu wiki nzima wanatuletea habari za kumsema Zito ndo uchunguzi huo? Wiki nzima alafu unatuletea pichaunatwambia yule ni Makonda namfunga Rizone kiatu alaf ndo uchunguzi huo? Habari kama hii inalisaidia vipi taifa?
 
Mbona hamsemi kuhusu magazeti na redio za fisiem zilizofungiwa kwa kukwepa kodi .mlidhani ule wimbo mlikuwa mnawaimbia ukawa sasa mtaisoma namba wenyeww. Mwanahalis ipo tutaendelea kuisoma mkiifungia nayo basi tunaanzisha lingine
Unasemea ile radio 5?
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Tatizo sio nape,tatizo ni wale mawakili wao akina mawio wasio na ethics ndo wanailipisha serikali kabisa?kwa ushenzi wa mawio?
 
Tatizo sio nape,tatizo ni wale mawakili wao akina mawio wasio na ethics ndo wanailipisha serikali kabisa?kwa ushenzi wa mawio?
Kama,wanailipisha kwasababu tunaserekali ya kilaghai isiyofuata misingi ya utawala bora ,na serekali yenye harufu ya udikteta na wachumia matumbo yao .Serekali ya kina Nape haipend kuambiwa ukwel.
 
Vichwa vilivyozoea kusoma magazeti ya udau utavijua tu!! Eti safi sanaaaaa! Hii ndiyo ile inayolala bungeni ikipewa kitabu cha budget na yenyewe imezoea kuonaga picha za udaku dakika 1 tu inachapa usingizi
 
Back
Top Bottom