Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Lipo japo halilipi kodi kabisa ,leo taarifa kuu limesema Nape kidume ......
Huo ndio tunaita ujinga ulio pitiliza yaani vyombo vyoote vinavyo ikosoa serikali ndio vinaonekana havifai mbele ya watawala?yana mwisho wake tu
 
Kubenea bado anadhani ni utawala wa kikwete huu

asipoangalia na kubadilika hata mwanahalisi litapigwa tena chini, atabaki kushinda mahakamani
Sema mheshimiwa kubenea huyo ni mbunge wetu
 
Huo ndio tunaita ujinga ulio pitiliza yaani vyombo vyoote vinavyo ikosoa serikali ndio vinaonekana havifai mbele ya watawala?yana mwisho wake tu
Kila kitu unatakiwa useme ndio mzee ,,ndo utapendwa na serekali
 
Gazeti la habari za kiuchunguzi la Mawio limefungiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini kwa kinachodaiwa "kukiuka" maadili ya uandishi wa habari.

============

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).

12509428_1161014297243801_8017580642002073648_n.jpg

- Ningekuwa Waziri wa Habari ningemfikisha mahakamani hata Mmiliki wa hilo gazeti ambalo limekuwa likitumiwa sana na Wanasiasa walioshindwa kuitukana Serikali na kuichonganisha Serikali na Wananchi, walikuwa marafiki wa Watawala waliopita wakawageuka na kujiunga upande wa pili wakaanza uzushi kila siku ya Mungu wakadhani wanaweza kui bully Serikali mpya kama walivyokuwa wakifanya zamani, now wameupata ujumbe kwamba Serikali mpya haina muda wa ujinga wala mchezo na waandishi njaa. Ninasema hivi ningekuwa Waziri ningewafikisha na mahakamani kwa uzushi wa kila siku.

Le Mutuz
 
Kubenea
Msomi wa elimu ya hapa na pale
Kutoka vyuo vya hapa na pale

Hahaa

Hiz elimu za hapa na pale
Ndio znatusumbua.
Apigwe marufuku mjinga yule
 
Na wewe huwezi kuwa waziri hata siku moja. Kwa hiyo ndoto yako haina mashiko
 
Kubenea
Msomi wa elimu ya hapa na pale
Kutoka vyuo vya hapa na pale

Hahaa

Hiz elimu za hapa na pale
Ndio znatusumbua.
Apigwe marufuku mjinga yule
Kwa taarifa yako binadamu aliyepata "elimu ya hapa na pale" practically no mzuri sana kuwazidi wale walioipata straight. Na sababu ni kuwa hiyo hapa na pale inasukumwa na uchu wa kupata elimu wa MTU licha ya changamoto anazo kabiliana nazo ikiwemo familia masikini. Mifano ipo ya waliobobea kielimu kwa kwenda straight lakini mchango wao ndani ya jamii kwa kupitia taaluma zao inashangaza.
Yupo rafiki yangu mmoja pale time ya mipango (simtaji bila ridhaa yake) tulianza darasa la kwanza siku moja, lakini kutokana na umasikini wa familia yake has a baada ya kumpoteza baba yake alijikuta anapata elimu ya hapa na pale na hata form 4&6 amefanya mtihani kama private candidate. Nilijikuta nimemuacha nyuma kama miaka sits.
Leo hii yuko Time ya mipango na ni PHd holder. Upo hapo? Watu wanaunga unga kwa sababu mbalimbali lakini uwezo binafsi no mkubwa
 
Kama Lowassa alivyo na Ndota ya mwendawazimu atakuwa Rais
Kama kura milioni 6+ kwako unaziona so lolote kwa mgombea urais sasa sijui yule mama wa chama chako aliyepata kura nchi nzima idadi ndogo kuliko alizopata diwani wa kata yangu sijui utasemaje.
 
Sawa sawa mkuu hao wajinga wanao mbeza ni kutofahamu au makusudi au kwa itikadi tu
 
Kama kura milioni 6+ kwako unaziona so lolote kwa mgombea urais sasa sijui yule mama wa chama chako aliyepata kura nchi nzima idadi ndogo kuliko alizopata diwani wa kata yangu sijui utasemaje.
Mgwira
 
Kubenea
Msomi wa elimu ya hapa na pale
Kutoka vyuo vya hapa na pale

Hahaa

Hiz elimu za hapa na pale
Ndio znatusumbua.
Apigwe marufuku mjinga yule
Mjinga ni yule anaye pambana na mjinga
 
- Ningekuwa Waziri wa Habari ningemfikisha mahakamani hata Mmiliki wa hilo gazeti ambalo limekuwa likitumiwa sana na Wanasiasa walioshindwa kuitukana Serikali na kuichonganisha Serikali na Wananchi, walikuwa marafiki wa Watawala waliopita wakawageuka na kujiunga upande wa pili wakaanza uzushi kila siku ya Mungu wakadhani wanaweza kui bully Serikali mpya kama walivyokuwa wakifanya zamani, now wameupata ujumbe kwamba Serikali mpya haina muda wa ujinga wala mchezo na waandishi njaa. Ninasema hivi ningekuwa Waziri ningewafikisha na mahakamani kwa uzushi wa kila siku.

Le Mutuz
Labda uwaziri wa kuota ndotoni,tanzania haijafikia hatua ya kuwa na viongozi wa aina yako
 
wataanzisha lingine la machweo hahaha hii nji wqatu janja janja sana😱😱😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom