Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Refa na washika vibendera hawakutenda haki.....ila huyu mchezaji Mawio alikuwa anafunga magoli kwa kuotea.......tunashukuru mara hii offside hii imeonekana
 
JK aliwadekeza sana mpaka wakamutita rais dhaifu acha sasa waisome namba.

Kila zama na kitabu chake.

Ili gazeti lilitakiwa kufutwa siku nyingi sana .
Na watatulia na hawa Nyumbu wao wanao wategemea
 
Limeitesa sana ccm na Serikali yake nilijua Nape hawezi liacha, hawa jamaa hawataki ukweli kabisa aise
 
Nape big up! tumekuwa tukisema kuwa Kubenea mzee wa elimu ya hapa na pale ni fisadi wa uandishi wa habari. tena ikiwezekana hata Mwanahalisi lifungiwe tena na nipo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa nini lifungiwe. haiwezekani kwa miaka minane na ushee walikuwa wakituandikia kuwa Lowasa ni fisadi. halaf leo eti kageuza mawazo kuwa Lowasa sio tena fisadi wamemsafisha. upumbaf na ulofa huu. tena ningekuwa mimi Lowasa ningempeleka Kubenea mahakamani anilipe fidia kwa kunidhalilisha na kushusha heshima na utu. haiwezekani. Lissu aliandika List of shame, ndani yake Lowasa yumo. hivi alikuwa anamaanisha utani tuu? ? sio kweli? ??? ushenzi mtupu makanjanja kama hawa wanatakiwa wafungwe milele kwa ustawi wa taifa hili
Mwanalisi lilipofungiwa aliazisha MAWIO ,sasa mawio limefungiwa sijui ataazisha MACHOYO ,
 
kwani serikali inavumilia criticisms...it was expected anyway

Na watawalipa Mawio mamilioni kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi

mwanahalisi itaendelea kuwa sokoni
Mwanahalisi wamelipwa nini hivi Kubenea kawashikia watu akili sana, nchi inaendeshwa na sheria siyo uhuni na porojo .
 
Alichofanya Nape na Serikali ya Mafisi ya CCM ni ukandamizaji wa vyombo vya habari.Hapa TANZANIA tunadanganyana maana kiukweli hakuna UHURU wa media kabisa.
Seriksli ya Mafisi ya CCM haitaki kukosolewa wala kusahihishwa! Huu ni ujinga ambao laxima ukomeshwe!
Mnajifisha ndani ya uhuru mlipewa kwa kuandika ujinga ,eti uhuru ,hata marekani ambayo ndio baba wa democracy,huo ujinga wa kuandika majungu kwa mgongo wa Democrasia hawawezi kuuvumilia, mbona nipashe, tz daima, uhuru ,habari leo ,raia mwema lipo siku zote ,
 
Kubenea bana alikuwa anakutumia kale kaandishi kanjanja kanajiita Jabir Idrisa sasa imekula kwao hawa walitakiwa wapelekwe mahakamani, hawa waandishi makanjanja siyo wakuwaacha hivi hivi walisababisha mauaji makubwa sana Rwanda.
 
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchi

Kwani hao wanasheria wa Nape hawaelewi sheria yoyote inayokinzana na katiba ya nchi haiwezi kukubalika mahakamani?
 
Kwani hao wanasheria wa Nape hawaelewi sheria yoyote inayokinzana na katiba ya nchi haiwezi kukubalika mahakamani?
Nape yupi anajua sheria au ni kuongea tu ?? Hata walivyolifungia mwanahalisi walikuwa na wanasheria ila wakabwagwa
 
Back
Top Bottom