Binamu taratibu! Utaniharibia mingo.
wewe unazungumzia wachaga wa miaka ipi....1905?...
Mpwa nimeikumbuka hiyo offer nikaona SI VIBAYA kwenda kufaidi kidogo! ngoja tumsikie
Mrs, sijui huyo anawazungumzia wa wapi, anyway steriotype dhidi ya hawa watani zangu hazijaanza leo wala hazitaisha. Hivi huko kwao ukiwa MVIVU ndo utaonekana wa maana? KAZI ni kipimo cha utu! Hii nchi ingekabidhiwa wachagga kwa miaka 10 tu halafu tuone,, ebo!
sema na wewe mr wangu, NA ACYE FANYAKAZI NA ACLE.... amezoea hao wa huko kazi yao kukaa vibarazan na vikanga kifuani anamsubiria baba nanilii aje na pweza jioni.....
Hata kama wewe wifi yao kimeo wabaki kimyaa unamwangamiza kaka yao vp bana? Damu nzito kuliko maji ukiwa kimeo utanyooshewa kidole na mawifi mpaka utakapo jirekebisha ebo.
Wewe si unasema hivyo kutokana na ukimeo wako na umedata sana wewe. Huthamini na hujali ndugu zako wewe wifi akiwa anamchuna kaka ako lazima ukomae sio eti kaolewa tu jamaa nyumba anaenda kujenga ukweni wapi na wapi bana.
Yeah lazima wamsaidie ndugu yao bana sio kesho na kesho kutwa ana fulia janamke linakimbia na kufuata mme mwenye pesa si akili zenu mnazijua wenyewe mawazo kwenye mkwanja tu na si tru love.
siku hizi sio watu wa kanda ya ziwa tu, hata kanda ya kaskazini mawifi wana kiherehere sana, wanajidai kuwaonyesha kaka zao njia, unamuignore mpaka anondoka bila kuaga, ukiona anakusumbua sana unamwambia za saa hizi, unapanga safari unaondoka asubiri kaka yake aje amsalimie kwa unyenyekevu,
wifi/mama mkwe sio watu wa kuwazembe kuanzia mwanzo, utakavyowarembea ndivyo watakavyo kuburuza, mbele ya mama mkwe na mwanae yaan mr cku moja nilimtolea uvivu wifi hatokaa arudie maisha yake yote na heshima za kumwaga mpaka sasa.......ukiteleza tu utamwona mpaka mumeo mtarajiwa mchungu tena ukute ndio wae wakaka wa kuckiliza ndugu zao kuliko wewe oohh utakwisha....uczubae.
jamani wadada na JF tukubali kuwa sometimes sisi waolewaji ndo huwa tunakuwa na matatizo, mambo ya kwenda umejiandaa kuidhibiti familia ya mume. unajua sio familia zote ambazo ni ngumu kuishi nazo ila kwa vile tunatoka kwetu tukiwa tumejiandaa jinzi ya kuwadibiti mama mkwe na mawifi ndo inakuwa balaa. wakati mwingine wifi au mama mkwe anaweza akakosea kitu kidogo, kibinadamu, ambapo hata mama au mdogo wako anaweza akafanya kitu kama hicho lakini sababu kafanya wifi/mama mkwe inakuwa balaa.
tujitahidi na sisi kuchukulia familia za waume zetu kama familia zetu, labda haya mzogo yatapungua
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Ila kupiga hapa nimeshamwambia ni marufuku.
Karibu sana wifi yangu kwetu goti ni lazima ndiyo culture yetu,umependa boga penda na maua yakeNaelekea kanda ya ziwa kaka yangu.
Najihisi mwenye bahati mbya.......
Karibu sana wifi yangu kwetu goti ni lazima ndiyo culture yetu,umependa boga penda na maua yake
Pretty pole shoga! kwani huyo wifi yako ni mkubwa kwa mumeo mtarajiwa ama ni mdogo?
2. Huyo wifiyo anakaa na huyo mumeo mtarajiwa ama mtakapo owana mtakaa nae nyumba moja?
Hiyo ya ndoo kichwani du hapana.Ila ukiwa unamsalimia mtu aliekuzidi umri unapiga goti sana sana mama mkwe,baba mkwe ila kusema ukweli hizi mila za kisukuma hata mimi sizipendi nakumbuka eti mtu unampa maji ya kunywa yaani unapiga goti hadi amalize kunywa.Nimeshakaribia wifi na ahsante. Mtu ukiwa na ndoo ya maji kichwani sharti upige goti ukimsalimia mtu, hii kweli haki?Wifi hizi mila nyingine mhhhhhhhhhhhhhh!!
Hiyo ya ndoo kichwani du hapana.Ila ukiwa unamsalimia mtu aliekuzidi umri unapiga goti sana sana mama mkwe,baba mkwe ila kusema ukweli hizi mila za kisukuma hata mimi sizipendi nakumbuka eti mtu unampa maji ya kunywa yaani unapiga goti hadi amalize kunywa.
Thank God sijaolewa usukumani
wote mwanza na shinyanga.Wasukuma wa wapi hao wenye mila hizo?
wote mwanza na shinyanga.
si kweli na wao wanapiga magotiHiyo Mama inaitwa blanket generalization. Kule Ntuzu nitokako mimi hatuna hayo mambo. Unakaribishwa upatembelee
Hiyo ya ndoo kichwani du hapana.Ila ukiwa unamsalimia mtu aliekuzidi umri unapiga goti sana sana mama mkwe,baba mkwe ila kusema ukweli hizi mila za kisukuma hata mimi sizipendi nakumbuka eti mtu unampa maji ya kunywa yaani unapiga goti hadi amalize kunywa.
Thank God sijaolewa usukumani
Nashukuru kaka yako muelewa, yeye mambo ya kupiga magoti wala hapendi. Hao wengine nitaweka kichwa ngumu tu.
Ndio, magoti ni heshima. Kama umempenda mume wako mtarajiwa basi upende na mila na desturi zao. Kwani ugumu upo wapi? Kwani unaweza kuamka asubuhi bila kumwamkia mzazi wako? of coz kwa mila za kiafrika ndivyo ilivyo tunawasalimu wazazi, walimu na wakubwa zetu. Basi usisite fanya utazoea.Usione kama anakuwa mbaya ni mila na desturi za kwao.