Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 39
Usibadili mawazo utampa kichwa sana pambana naye,
msalimie kawaida bora humdharau asikusumbue kabisa, kwani utakaa naye kwako, hawa watu wa hivi ukiwaendekeza atakupelekesha mpaka utakonda ubaki kama nyoka, mapema kabisa anza kumuonesha rangi zako zote.
ingekuwa mama mkwe hapo sawa kuna point lakini, wifi tena mwenye kwake, huyo lazima anakutafuta uchokozi tu.
MJ1 kweli kabisa umenena, kwani huyo wifi kakuoa yeye, plus kama hujalelewa na hayo mambo ya kupiga magoti, its hard!! ask me, My Mr. wangu ni wa Ug na huko ndiko upigaji magoti umekolea, jamani mie sipigi na wala sio madharau, nawaheshimu wote watu wake. but nobody is going to force me to do it!!
Huyo wifi kwani lazima uonane naye?? kaa kwako and avoid her for your peace, akijileta kwako umpungie mkono tu..hata hiyo ni salamu. akizidi itisha kikao u square things out! let it be known that u will not be doing it in this life time and that u respect her.... kupiga magoti sio kuonyesha kuwa unamuheshimu!