hivi ni mimi tu imekua tabia mtu anatoa mada baada ya kuchangia watu wanaanza kupiga stori hata kusoma mtu unakosa hamu
wewe umechangia kipi cha maana humu cha kutufanya na sie tupate hamu ya kusoma?
Aisee Pretty pole sana.
Wifi yako seems to be one of those ppl wasiokuwa na satistying lives of their own. Ushauri wangu kwako; mpigie hilo goti whenever you see her (kama hamuonani often) au you will never hear the end of it. Ukiona yanakushinda, njoo kwetu Kili, ;p
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno.
Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?
Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Huwa nashangaa sana ninaposikia wanawake wakiwalalamikia wqnawake wenzao...Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno.
Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?
Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Acha kukosoa wenzio, kila mtu atajibu anavyofikiri usilazimishe wajibu kama unavyotaka wewekwani ni lazima ujibu au ndo unataka tukuone unajua sana kujibu nwe hasaa ulichochangia cha umuhimu kiko wapi
Naunga mkono hoja yako mwalimu kwa 100 %!!Nakushauri ufunge bawaba ili goti lilainike, kuna baadhi ya mambo tunatakiwa tukiingia kwenye familia za watu tuyapuuze na mengine tuyaendee sambamba, maana hakuna raha kama kuwa mmoja wao katika mambo yananyowezekana kufanana nao, goti kitu gani kwa mtoto wa kiAfrika? Zingatia mila na Desturi zao maana kuna watu wana mila za kuto mwangalia baba mkwe usoni sasa wewe kama umekulia mjini na hutaki kwenda sambamba nao kwa kubadirika ujue utakumbwa na mikasa isiyo ya msingi
Usipokubali kukosolewa utaitwa diktetaAcha kukosoa wenzio, kila mtu atajibu anavyofikiri usilazimishe wajibu kama unavyotaka wewe
Tupe mrejesho bibie,Habari zenu wanaJF,