Mawifi jamani, hivi wana nini?

Mawifi jamani, hivi wana nini?

Hata kama wewe wifi yao kimeo wabaki kimyaa unamwangamiza kaka yao vp bana? Damu nzito kuliko maji ukiwa kimeo utanyooshewa kidole na mawifi mpaka utakapo jirekebisha ebo.
yaani hiyo haiwahusu unaweza kuta kaka yao ana enjoy huo ukimeo wangu je? si waangalie ndoa zao, mie kwa kweli mambo ya makaka zangu na wake zao hayanihusu kabisa na sipendi kutia neno no matter what, mwisho wa siku wale ni wapenzi watakavyokua kitandani wanabembelezana hata uwe mama mzazi hutathaminiwa, thats the truth.
 
carmel hta mie sihitaji kuingialia ndoa za kaka zangu neva labda wakija kuniomba msaada ,lakini mie binafsi sijipeleki

kwanza hainihusu na ndo maana na mie nina kwangu
 
yaani hiyo haiwahusu unaweza kuta kaka yao ana enjoy huo ukimeo wangu je? si waangalie ndoa zao, mie kwa kweli mambo ya makaka zangu na wake zao hayanihusu kabisa na sipendi kutia neno no matter what, mwisho wa siku wale ni wapenzi watakavyokua kitandani wanabembelezana hata uwe mama mzazi hutathaminiwa, thats the truth.

Wewe si unasema hivyo kutokana na ukimeo wako na umedata sana wewe. Huthamini na hujali ndugu zako wewe wifi akiwa anamchuna kaka ako lazima ukomae sio eti kaolewa tu jamaa nyumba anaenda kujenga ukweni wapi na wapi bana.
 
wewe mbona una mawazo ya mlengo wa nyuma ..kama anamchuna si vya kwake kwani vya kwao
 
wewe mbona una mawazo ya mlengo wa nyuma ..kama anamchuna si vya kwake kwani vya kwao

Yeah lazima wamsaidie ndugu yao bana sio kesho na kesho kutwa ana fulia janamke linakimbia na kufuata mme mwenye pesa si akili zenu mnazijua wenyewe mawazo kwenye mkwanja tu na si tru love.
 
Pretty mpe heshima yake na usimpe heshima ya unafiki wala woga. Kama anastahili heshima ya ukubwa hata udogo mpe. Kama si asili yako kupiga magoti usijinafikishe hutaweza ku-maintain...huwa nawaona mabinti wa kichaga wanaoolewa na makabila mengine (yenye kupiga magoti) wakijikakamua kupiga goti siku ya harusi karibu waanguke! Wizi mtupu! Baada ya siku mbili hawakumbuki! Jamaa kakupenda bila hilo goti na alijua si asili yako.

By the way huyo anakupa taabu na goti sasa hivi, ukimwendekeza tu atakuingilia na mengine. Just be polite to her but stick to your ways. Ni maisha yako na mumeo - to be
 
Wewe si unasema hivyo kutokana na ukimeo wako na umedata sana wewe. Huthamini na hujali ndugu zako wewe wifi akiwa anamchuna kaka ako lazima ukomae sio eti kaolewa tu jamaa nyumba anaenda kujenga ukweni wapi na wapi bana.
haha haa, eti nimedata poa tu, ndo vizuri si unajua maisha yenyewe haya usipodata unaweza kuchomwa vidole machoni?
Kma kaka akiamua kujenga ukweni hayo si makubaliano yao wenyewe jamani, kwani kuna kosa gani? nikimkatalia asijenge ukweni ina maana hata mie hubby akitaka kujenga ukweni nkatae siyo? its a cycle, ndo maana mawifi hawatakiwi kuchonga maana hata wao wanaolewa na same situation might face them.
Pia kuna mentality mbaya sana eti familia ikionekana ina neema au hata mke akiamua kujenga kwao mawifi wanaanza kuchonga wakidhani ni pesa ya kaka yao kumbe sometimes ni bibie mwenyewe anajitutumua, sipendi sana hii tabia ya kudhani kila kitu ni cha mume nasema sipendi maana wanawake wa sasa wanafanya mambo mengi sana kwenye hizi nyumba.
 
Nisipokuota wewe ntamuota nani tena? Usisahau bado niko kwenye maombi. Vipi mawifi zako hawakuletei za kuleta?
hkwi kwi, hapa break, walitakaga kuanza wakakuta no entry. sas hivi heshima mbele yani tunapeana nafasi.
 
hkwi kwi, hapa break, walitakaga kuanza wakakuta no entry. sas hivi heshima mbele yani tunapeana nafasi.

Una bahati hujaolewa usukumani. Ungeipata habari yako.
 
Una bahati hujaolewa usukumani. Ungeipata habari yako.
aah wapi, mimi ndo mwenye mumeb bwana., tangu pale kanisani niliposema i do, ni mimi ndo nina haki kushinda mawifi na hata mama mzazi so watu tunatakiwa kuelewa na kuacha mume na mke waishi maisha yao na siyo kuwaingilia saana. muhimu heshima iwepo tu.
 
Yeah lazima wamsaidie ndugu yao bana sio kesho na kesho kutwa ana fulia janamke linakimbia na kufuata mme mwenye pesa si akili zenu mnazijua wenyewe mawazo kwenye mkwanja tu na si tru love.
wamsaidie ndugu yao kivipi, kama makubaliano yao ndo ya kuchunana je?
si kweli kwamba wote hawana true love, mambo ya poesa haya ni makubaliano tu, nyumba nyingi sasa wanawake wanaplay part kubwa so habari ya wanaume ndo wanachunwa tu sijui huwa mnaitoa wapi
 
aah wapi, mimi ndo mwenye mumeb bwana., tangu pale kanisani niliposema i do, ni mimi ndo nina haki kushinda mawifi na hata mama mzazi so watu tunatakiwa kuelewa na kuacha mume na mke waishi maisha yao na siyo kuwaingilia saana. muhimu heshima iwepo tu.

Hahaha! Haya bwana, angalia usije ukatafuta wasuluhishi desperately. Hahahaha! Niliipenda sana ile desperately ya wakati ule.
 
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.

akileta maneno maneno we uwe usimjali, jifanye kama husikii vile, mpe heshima yake, kaa mbali naye, usimruhusu akuzoee sana.
 
Pretty pole shoga! kwani huyo wifi yako ni mkubwa kwa mumeo mtarajiwa ama ni mdogo?
2. Huyo wifiyo anakaa na huyo mumeo mtarajiwa ama mtakapo owana mtakaa nae nyumba moja?
 
kubadili mawazo haiwezekani, nataka mbinu za kumdhibiti huyu wifi.

Usibadili mawazo utampa kichwa sana pambana naye,
msalimie kawaida bora humdharau asikusumbue kabisa, kwani utakaa naye kwako, hawa watu wa hivi ukiwaendekeza atakupelekesha mpaka utakonda ubaki kama nyoka, mapema kabisa anza kumuonesha rangi zako zote.

ingekuwa mama mkwe hapo sawa kuna point lakini, wifi tena mwenye kwake, huyo lazima anakutafuta uchokozi tu.
 
Hahaha! Haya bwana, angalia usije ukatafuta wasuluhishi desperately. Hahahaha! Niliipenda sana ile desperately ya wakati ule.
Nilishasema dua za kuku hazinitishi, hata kama ikifika mahala nikatafuta wasuluhishi sawa tu, hiyo itakuwa kwa wakati wake, lakini siwezi kuishi kwa vitisho na wasiwasi ndani ya nyumba yangu mwenyewe. mimi nawaheshimu watu wote kama binadamu lakini dharau ndo sikubaliani nazo. haya ndo tunafanya turudi kwenye ile thread ya wanawake hatupendani, kwa nini usimuache mwanamke mwenzio a enjoy ndoa yake na mumwe, kutwa kucha vijineno kisa ni kaka yako. Lakini wadada this begins with you, maana sisi ndo waolewaji, sisi ndo mawifi, kila mtu aplay part yake.
 
Usibadili mawazo utampa kichwa sana pambana naye,
msalimie kawaida bora humdharau asikusumbue kabisa, kwani utakaa naye kwako, hawa watu wa hivi ukiwaendekeza atakupelekesha mpaka utakonda ubaki kama nyoka, mapema kabisa anza kumuonesha rangi zako zote.

ingekuwa mama mkwe hapo sawa kuna point lakini, wifi tena mwenye kwake, huyo lazima anakutafuta uchokozi tu.
mimi nasema hata mama mkwe anatakiwa kuheshimu ndoa ya mwanae. kila mtu aachwe aplay part yake, akumbuke mwanae kakua ndo maana kaoa na ana independent family na ni baba wa familia wjhich means anaweza kuongoza family yake bila maelekezo toka kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom