Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
heeh mama mkwe plus wifi wote kimeo
harafu hivi nini kinawshinda kukaa makwao jamani mpaka wakaharibu ndoa za wenzao gosh..................................................??
madai kwa kaka yao na huyo mwingine kwa mwanangu,...mama mkwe nae cku hiyo nikamtolea uvivu, mama kanical ana shida nimfate home kwake, nilikuwa nimemnunulia vitu baadhi vya home kwake, mama mkwe kaona nimevipaki na kumuaga naenda kumwona mama mara moja, mwanae karudi anamwambia mwali ameniacha naumwa kaenda kumwona mamake, wakati mie nimefika home namwuliza mama salama najibiwa salama na nimeshinda salama hayo ya kuumwa yamezuka alivyoniona naenda kwa mamangu, akidhani ni pesa za mwanaenilizotumia kumnunulia mamangu bidhaa, anarudi mr anataka kugomba fulani nikamwambia aaahhh maneno ya chini chini ctaki, nikamfata mamake kumuuliza, nikamwambia mbona nilivyokuja hukunimbia kama unaumwa lakini unamwambia mwanao anieleweje? akaanza oohhh ahaa, nikamwambia yule ni mamangu alienileta kwenye hii dunia mpaka nikakutana na mwanao, lazima nimckilize kwa lolote analotaka kuongea na mie mwanae, sio kuolewa bac na mamangu nimsahau, nikwambia mama wewe nakuona kama mamangu mzazi kabisa lakini hunitendei haki wewe ukiwa na shida zako utakuja kumwambia mwanao hapa na mie nakupokea vizuri, mamangu hapendi kuja kuja hapa kwangu coz hapamuhusu kivile, anajua nimeolewa na nipo kwa mume sasa wewe kuja huku na kuniharibia ndoa kwa maneno yacyo ya kweli haipenndezi...jamani niliongea mpaka bac, mpaka leo mama mkwe/wifi tupo pa1....leo nimeandika sana mana hawa mawatu waninisumbua sana uwiiiii.