Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,065
ChaWote hapadanganyi!ngoma sio ya kitoto ile,ndio maana mi nilikimbia jana.maanake ningeharibu Bwa-Shee.heheheheheHahahaha! Bwashee unaua. ChaWote pana mkesha, siyo?
ChaWote hapadanganyi!ngoma sio ya kitoto ile,ndio maana mi nilikimbia jana.maanake ningeharibu Bwa-Shee.heheheheheHahahaha! Bwashee unaua. ChaWote pana mkesha, siyo?
ChaWote hapadanganyi!ngoma sio ya kitoto ile,ndio maana mi nilikimbia jana.maanake ningeharibu Bwa-Shee.hehehehehe
Kale katripu kameota mbawa?
hivi bwa shee umestukia kitu humu jamvini kwamba kuna ubaguzi?
hilo ni jibu sahihi!hawa jamaa wamejitenga na wana thredi zao sasa hivi.lakini mimi nafurahi kwamba wamepewa dozi,ai mini ukweli.kujitenga kwao ni swala la muda tu.maanake nimepitia thread moja nimekuta wapo wenyewe tu.Kati yetu na wabeba mabox au? Jana mkuu nguli alianzisha vita humu ndani.
hilo ni jibu sahihi!hawa jamaa wamejitenga na wana thredi zao sasa hivi.lakini mimi nafurahi kwamba wamepewa dozi,ai mini ukweli.kujitenga kwao ni swala la muda tu.maanake nimepitia thread moja nimekuta wapo wenyewe tu.
Hilo halitusumbui. Sisi tunaendelea kuchapa mwendo. Thread gani hiyo nikawachape dozi ndogondogo?
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
kuna thread ya kevini twista,na thredi ya hotuba za mwalimu zitumike mashuleni.wanajiongopea.nadhani wameingilia mlango wa kutokea
Hang over kwa mbaliiiiii!
Mawifi wasikupe presha Pretty, we hakikisha uko page moja na mumeo tu mengine yote watajikuta wanapoteza muda. cha msingi usiwe nao close saaana, watapata muda wa kukuchimba na kuanzisha vijineno. we kuwa busy na life yako yani mkionana ni kwa ishu muhimu then unasepa. hiyo tu ndo siri ya kudeal nao, ukiwaendekeza ndoa itakushinda.Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Mawifi wasikupe presha Pretty, we hakikisha uko page moja na mumeo tu mengine yote watajikuta wanapoteza muda. cha msingi usiwe nao close saaana, watapata muda wa kukuchimba na kuanzisha vijineno. we kuwa busy na life yako yani mkionana ni kwa ishu muhimu then unasepa. hiyo tu ndo siri ya kudeal nao, ukiwaendekeza ndoa itakushinda.
Mawifi wasikupe presha Pretty, we hakikisha uko page moja na mumeo tu mengine yote watajikuta wanapoteza muda. cha msingi usiwe nao close saaana,.
Carmel darling, habari ya asubuhi? Nimekumisi vibaya mno.
hehehehehe
My dear FL1 hujambo mamii? Habari za tangu jana? Ikawaje tena mbona hukuja kama tulivopanga?