Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu.
Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar.
kama hayajapita masaa 72 nenda hospitali wakupe PEP
Ahsante ndugu Matola Nikueleze tu hii wala si hadithi kama unavofikiria, usiu kucha mwenzio sijalala kwa mawazo. Hata hizo bar unazozijua hawaajiri mtu from no where, wana rpocess zao za kuajiri. Na katika mazungumzo mengi nilokua naongea na mdada huyu, nilikua nikimsihi aache ubarmaid.Hapana hujanielewa, nachukizwa na watu kupretend maisha utadhani watu waliopo hapa JF siyo sisi tunaoishi na jamii huko mitaani.
kwa mfano hii hadithi licha kwamba ni ya kutunga kuleta porojo jamvini je barmaid s unaowajuwa wewe anaweza kurudi kijijini kwao kwa sababu amefukuzwa na muajili wa awali? Bar zote hizi kama utitiri zinahitaji wanafanyakazi na hawapatikani kirahisi. Tuheshimu binadamu wenzetu.
Hivi ukiwa na dada yako hapo mtaani ana salon na frem moja kaweka vinywaji jioni anauza bia hivi huyu ni barmaid au mnamuitaje?
inapatikana angaza hiyo kinga? Hebu nieleweshe mdau ni make follow up. Mana leo ndio siku ya mwisho.pep, hutolewa kwa watu waliopata ajali [na kumwagikiwa na damu ya watu mbalimbali] kujichoma na sindano pamoja na kurukiwa na damu jichoni kutoka kwa mtu anayesadikika kuwa ameathirika
inabidi kumpima msababishi ili kumtambua kama ameathirika au la. Kama ameathirika, ndipo na wewe mlalamikaji unapimwa. Kama haujaathirika unaanzishishwa ,art ,fasta [iwe ndani ya masaa 72,tangu tukio kutokea] dawa ambazo utatumia kwa kipindi cha mwezi mmoja . Kama umeathirika basi hauna umuhimu wa kuanzishiwa art fasta,utapimwa vipimo vingine ,ili ujulikane kama una vigezo vya kutosha kuanzishiwa hizo dawa.
,....my take kinga ya pep sio kwa ajili ya kujikinga baada ya ngono zembe,...tafadhalini acheni kuhadaa watu
.....nakaribisha maswali kwa hili.............
Yao asubuhi nilivostuka nilikua kama nimepagawa vile nikamuuliza maswali mengi, mojawapo nilimwuliza kua ameshatembea na wangapi, akanambia kwa pale bar ametembea na dj tu ila mara nyingi. Roho ikaniruka tena mana dj mwenyewe nae ni balaa. Pia nilijua tu kanidanganya experience aloonyesha aonekana tu amekubuhu kwenye haya mambo.Mkuu wala hata usihofu maana wengi wanawagopa sana so wanatumia ndom uko safe.
usimfanyie hivyo bana.R.I.P matatiz
ikate kwa juu utakua haujasambaa mpk kiunoni.
game si ilikuwa jana?
bas umewahi best!
Alaa kumbe zipo hizo dawa? zinaitwaje nikazinunue famasi? mana mpaka kesho naona kama nachelewa King'asti
PEP, HUTOLEWA KWA WATU WALIOPATA AJALI [NA KUMWAGIKIWA NA DAMU YA WATU MBALIMBALI] KUJICHOMA NA SINDANO PAMOJA NA KURUKIWA NA DAMU JICHONI KUTOKA KWA MTU ANAYESADIKIKA KUWA AMEATHIRIKA
INABIDI KUMPIMA MSABABISHI ILI KUMTAMBUA KAMA AMEATHIRIKA AU LA. KAMA AMEATHIRIKA, NDIPO NA WEWE MLALAMIKAJI UNAPIMWA. KAMA HAUJAATHIRIKA UNAANZISHISHWA ,ART ,fasta [IWE NDANI YA MASAA 72,TANGU TUKIO KUTOKEA] DAWA AMBAZO UTATUMIA KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA . KAMA UMEATHIRIKA BASI HAUNA UMUHIMU WA KUANZISHIWA ART FASTA,UTAPIMWA VIPIMO VINGINE ,ILI UJULIKANE KAMA UNA VIGEZO VYA KUTOSHA KUANZISHIWA HIZO DAWA.
,....MY TAKE KINGA YA PEP SIO KWA AJILI YA KUJIKINGA BAADA YA NGONO ZEMBE,...TAFADHALINI ACHENI KUHADAA WATU
.....NAKARIBISHA MASWALI KWA HILI.............
inapatikana angaza hiyo kinga? Hebu nieleweshe mdau ni make follow up. Mana leo ndio siku ya mwisho.