Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!!
Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!!
Acha kujitia hofu,nenda kapime upate uhakika!
Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani?
Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani?
Eti eeh? Daah nikisave hii pombe basi.Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu.
Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar.