Mawazo yananiua!

Mawazo yananiua!

du pole sana, mimi nilishauzaga nyingi tu, ila usiwaze sana maana utaumia, cha muhimu ni kupima mara ya kwanza kisha baada ya miezi mitatu nenda tena ukapime, hapo ndipo mwisho wa mawazo yako, ila VVU bwana mpaka uvipate? siku nyingine uwe unaloweka na maji mengi.
 
Niwashukuru wadau kwa kuweza kunisaidia, Nimetumia dozi ya PEP ni ARV's now nimepima niko oke. Ahsanteni sanaaa kwa michango yenu. Mbarikiwe sanaaa.
 
yaan jf members pamoja na mtoa mada lini mtathamini watu bila kuangalia status yake??? hivi wewe ulieko na huyo demu wako ukaenda kulala na barmaids mnavyoenda kavu NAJUA SIO WANANDOA NDO MAANA ULILALA NJE unamuamini vipi huyo na unavyoenda nae kavu jua namwimngine anaenda nae kavu watu kibao umu mna wanawake wawili mpaka wa3na mnaenda kavu na hao wanawake wanatoka hivi mnajiona mpo salamaeeeh???? acheni negative attitudes hata huyo demu wako usingeenda kavu
maana leo umelala nae kesho ujalala nae
 
Pole sana kwa kutembelea rim... Ila usihofu ukimwi wa siku izi ni wakidigital zaidi tofauti na ule wa enzi zile za kukondeana na kuhara ovyo....ogopa cancer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom