Pole kaka, sometimes s*t happens. Kuna watu washawahi kupasukiwa na condoms na majanga kibao. Usife moyo kwanza kapime ujue ur current status. Pia ingawa mie sio dr ila wasemavyo wenyewe men wana less chance ya kuambukizwa than wanawake kwa maumbile yao. Naamini hujaambukizwa ila this is a wake up call for you. Sali/swali sana... talk to your God and ask for his forgiveness and protection, that in turn itakupunguzia mawazo ukijikabidhi maisha yako kwa Mungu. Ingawa limeanza vibaya but pengine jambo hili laweza kukufanya uwe the best person you can be forever. Remember no one will leave this world alive... Jipe moyo u r okay