Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani?
Daah hata mi naamin.
Hata wewe mbona utaenda tu, wote tu safari moja kaka au we utaish milele?Haaa...wee kwisha habari yako coz huyo dada namfaham na nilikua nawaona nae sana na hata siku anatimliwa pale bar nilikuwepo. Kuna Mzee mmoja wa serikalin amezikwa mwezi wa 9 mwaka jana ilikua ngoma yake huyo dada na kabla ya kuhamia hiyo bar alikua Dodoma chako ni chako na kuna washkaj wawili hatunao tena.
Huna hata haja ya kupima mshkaji wee kaanze na arv fasta ila ndio ushaondoka hivyo.
Ndio nafikiria hapa nitamuanzaje anzaje kumwambia. daah!
Hata wewe mbona utaenda tu, wote tu safari moja kaka au we utaish milele?
risechi zako ziko so complexUtoto unakusumbuwa sana wewe jamaa, hivi una uhakika mke wako habanduliwi? Don't be so stupid unatudharirisha wanaume, hotel karibu zote za sinza mchana zinajaa wake za watu wanabomolewa kama hawana akili nzuri.
risechi zako ziko so complex
Daah wandugu. Hebu kueni na huruma jamani, badala mifariji ndio mwazidi kunidhoofisha. Aaah!