Wanaume na sisi tunabakwa, moyo unauma sana

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona

Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama 40 mzuri na shape ya maana akanisalumia kwa adabu alionekana km mwenye stress ivi

Akaaniita pembeni nikahisi balaa gani tena hili huku akibubujikwa na machozi akaanza kunielezea kua mama ake mzazi anaumwa saana na anaitaji damu ya haraka na kila anaempigia simu kuomba aje kutoa damu anampga chenga kunautajika chupa 5 za damu na amepata watu watatu bado wawili Dada alinililia saana kuta za hospital zina mengi

Nilikua nimetanguluzana na mdogo angu wa kiume nikamwambia shida ya yule Dada tukakubaliana tumsaidie

Tukatoa zetu damu tulivomaliza wahudumu wakatuweka mapumziko kidogo tupate chai yule Dada akaja pale hall kutushukuru kwa machozi tukamwambia jambo la kawauda tu ilo tukabadilishana namba za simu tukasepa zetu

Nikawa nachat nae kumuuliza hali ya mgonjwa kila asubuhi na jioni siku nisipomcheki akawa analalamika mbona umenususa kaka angu najitetea tetea maisha yakawa yanasonga

Mama akapata nafuu kiasi akaruhusiwa kutoka hospital nikaenda kwake kumuona na kumfahamu kwa kua siku ile ya kutoa damu sikuona kwa sababu alikua kalazwa Icu.basi Dada akanitambulisha kwa bi mkubwa yule alinishukuru saana na mama alikua mtu wa sala sana wakati nataka kuondoka bi mkubwa yule akaniomba nimpe mikono yangu akapiga maombi makali kidogo pale nikaondoka zangu

Kwa hali ya uchumi ya Dada angu yule alikua yupo vizuri na ana mume na vitoto vyake vitatu vizuri vinasoma fm academia izi sio Hawa wa msondo ngoma.

Baada ya wiki kama mbili ivi asubuhi moja ivi Dada akanipigia simu hali ya mama imedilika gafla na kalazwa kwenye hospital ile ile, kwa vile sio mbali na kazini jioni nilivotoka nikapitia hospital kumcheki nikamkuta Dada kwenye hall lile wanapokaa wasaidizi wa wagonjwa akawa ananielezea ilivokua mpaka mgonjwa kulazwa tena, pale hospital alikua yeye Dada na wanawake wengine kama watatu ivi.

Wakati tunaongea ongea Dada akaitwa na daktari ikabidi niongozane nae tulivofika dakitari akaniuliza Nina mahusiano gani na mgonjwa nikamwambia ni shangazi yangu akamwambia dada akakae kwenye benchi Mimi na dakitari tukaingia chemba ivi akanipa maneno nikajua tu hapa mgonjwa kafariki akanambia wew ndo mwanaume jikaze bi mkubwa hatunae ckushtuka saana coz sio mara ya kwanza kukutana na situation kama hii, swala likaja naanzaje kumwambia Dada nikarudi kwnye benchi akaniuliza vipi nikaaanzia mbali then nikamwambia ukweli

Basi nikamsindikiza mpka kwake wakaweka msiba ndugu ndugu zao wakaoganiz wakasafirisha Mimi sikwenda coz Nina mke ningesemaje na kibaruani ningesemaje ila nilikuepo wakati wa kuaga apa mjini.

Baada ya mazishi Dada akarejea mjini kuendelea na majukumu. Tukaendelea kuwasiliana akaanza kunipa changamoto za ndoa yake kumbe mume wake hajushiriki hata kidogo kwenye matibabu ya mkwewe hyo ni stor nyingine

Mazoea yakazidi lakini kila wakati akawa anacctiza cjui atanipa zawadi gani ili nitambue ni kiasi gani ana appreciate mchango wangu kwake nikawa namtuliza kua asiwe na wasi wasi sisi ni binadamu kusaidiana jambo la kawaida tu na nimelelewa katika misingi ya kusaidia pale ninapoweza

Na kwa ukweli nilitoa damu siku ile bila kutegemea kitu chochote kutoka kwake nilitaka iwe sadaka yangu kwake lakini nadhani sio sadaka teeena kwa haya yaliyotokea

Siku moja ya jumapili akaniomba nimsindikize shambani kwake bagamoyo nikamwambia asubuhi nitaenda kanisani akanambia nae ataenda tukitoka ndo twende nikamwambia fine, jumapili ilivofika kama saa nne na nusu ivi nimetoka church akanitext nikamwambia niko ok kwa wife nikadanganya Kuna mishe nafanya akanielewa

Tukapanga wapi anipie akaja na ki Ist chake safari ya bagamoyo ikaanza akawa amenunua nyama choma na soda za take away tukawa tunakul huku tunapiga stori za maisha. Tukaacha bara bara ya lami kuanza kuingia shambani tukafika sehemu akashuka akasema anaenda kukojoa alivorudi wakati amekaa kwenye siti akapandisha dira mapaja yote yakawa yapo wazi malaini mazuri na hipis zile mmmh. Nikamwomba afunike wapaja akagoma

Akili zikanihama kabisaaa nikajikuta nimepoteza concentration cjui shetani gani aliningia nikaanza kumpapasa mapaja kumbe hata chupi hakuvaa alikua kavaa dira tu na shape ile nikajikuta namvua zote ndani ya gari tukavunja amri ya sita tena kavu

Baada ya kumaliza nilianza kujutia nafsi ikawa inanisuta saaana nikajiuliza km huyu Dada kaungua itakuaje vipi kwa mke wangu nae mtoto wa watu itakuaje

Shamba hatukwenda teeena nikawa nimefura nimebadilika hata kuongea nae tena nikawa cwezi akawa ananiongelesha nikabaki kimya njia nzima moyo ulikua unaniuma saaana nikawa nimevurugwa vibaya saana kufika nyumbani nikimwangalia mke wangu nikajiona wa hovyo saana lakini nikajiwekea mpango kua siwezi kumuingilia mke wangu bila kujua afya ya yule Dada

Jumatatu yake dada akawa ananiomba msamaha kwa yaliyotokea lakini akisisitiza kua hajawahi kuona mwanaume wa ajabu kama Mimi nimepewa penzi alafu nanuna na uzuri wake wote ule kwangu hilo halikua issue, issue ni afya yangu

Jioni ya siku hyo nikamwambia Nina wasi wasi na afya akacheka saana akasema kesho yake tukapime wote kwenye hospital ntakayoipendekeza Mimi, ckulala ucku ule mchana kwenye saba ivi Mimi na yeye tukaenda kupima wote tukaonekana tupo vizuri

Tulipotoka hospital akanambia tutafute sehemu tukae tuongee kidogo tukaenda kukaa bar flani ivi wakati tupo nje tumekaa akambia hayupo confotable twende chumbani ila hatutafanya chochote nikakataa akalazimisha tukachukua room tulivofika akakaa kwenye kiti Mimi kitandani kilichotokea baada ya hapo sex. Huyu Dada Mimi ananibaka coz nafanya nae ngono sipendi sema tu mazingira najikuta nmekua mtumwa wa ngono coz Kuna wakati cna mood unashangaa ananipitia kazini na kigari chake naishia kumfanya tu hata kimoja
 
Inasemekana sisi wanaume hatubakiki kwa kuwa duduwasha zetu ili uweze kushiriki tendo lazima lisimame. Kitendo hicho cha kusimama linaonesha utayari wetu wa kutaka kushiriki tendo hilo bila kushurutishwa.

Tena ukijichanganya kibao kinaweza kukugeukia wewe kwa nini unambaka huyo dada ambaye anaonekana hajaridhia ila wewe kwa uchu wako unamlazimisha akulipe fadhila ya mbususu kwa sababu tu umemsadia katika matatizo.
 
Duuh sasa mkuu bora kama unapiga mechi upige kazi inayoeleweka hiyo ya kupiga kagoli kako kamoja then unaanza kununa baadae utakuja na uzi Kua amekutangazia huna maajabu ni mzee wa kimoja chali

Kikubwa kama unakataa weka msimamo thabiti maana wewe ndio mwenye maamuzi na maisha yako na kama unakula kula kweli ili hata yakibumburuka usijutie hukufaidi vizuri
 
Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona

Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama 40 mzuri na shape ya maana akanisalumia kwa adabu alionekana km mwenye stress ivi

Akaaniita pembeni nikahisi balaa gani tena hili huku akibubujikwa na machozi akaanza kunielezea kua mama ake mzazi anaumwa saana na anaitaji damu ya haraka na kila anaempigia simu kuomba aje kutoa damu anampga chenga kunautajika chupa 5 za damu na amepata watu watatu bado wawili Dada alinililia saana kuta za hospital zina mengi

Nilikua nimetanguluzana na mdogo angu wa kiume nikamwambia shida ya yule Dada tukakubaliana tumsaidie

Tukatoa zetu damu tulivomaliza wahudumu wakatuweka mapumziko kidogo tupate chai yule Dada akaja pale hall kutushukuru kwa machozi tukamwambia jambo la kawauda tu ilo tukabadilishana namba za simu tukasepa zetu

Nikawa nachat nae kumuuliza hali ya mgonjwa kila asubuhi na jioni siku nisipomcheki akawa analalamika mbona umenususa kaka angu najitetea tetea maisha yakawa yanasonga

Mama akapata nafuu kiasi akaruhusiwa kutoka hospital nikaenda kwake kumuona na kumfahamu kwa kua siku ile ya kutoa damu sikuona kwa sababu alikua kalazwa Icu.basi Dada akanitambulisha kwa bi mkubwa yule alinishukuru saana na mama alikua mtu wa sala sana wakati nataka kuondoka bi mkubwa yule akaniomba nimpe mikono yangu akapiga maombi makali kidogo pale nikaondoka zangu

Kwa hali ya uchumi ya Dada angu yule alikua yupo vizuri na ana mume na vitoto vyake vitatu vizuri vinasoma fm academia izi sio Hawa wa msondo ngoma.

Baada ya wiki kama mbili ivi asubuhi moja ivi Dada akanipigia simu hali ya mama imedilika gafla na kalazwa kwenye hospital ile ile, kwa vile sio mbali na kazini jioni nilivotoka nikapitia hospital kumcheki nikamkuta Dada kwenye hall lile wanapokaa wasaidizi wa wagonjwa akawa ananielezea ilivokua mpaka mgonjwa kulazwa tena, pale hospital alikua yeye Dada na wanawake wengine kama watatu ivi.

Wakati tunaongea ongea Dada akaitwa na daktari ikabidi niongozane nae tulivofika dakitari akaniuliza Nina mahusiano gani na mgonjwa nikamwambia ni shangazi yangu akamwambia dada akakae kwenye benchi Mimi na dakitari tukaingia chemba ivi akanipa maneno nikajua tu hapa mgonjwa kafariki akanambia wew ndo mwanaume jikaze bi mkubwa hatunae ckushtuka saana coz sio mara ya kwanza kukutana na situation kama hii, swala likaja naanzaje kumwambia Dada nikarudi kwnye benchi akaniuliza vipi nikaaanzia mbali then nikamwambia ukweli

Basi nikamsindikiza mpka kwake wakaweka msiba ndugu ndugu zao wakaoganiz wakasafirisha Mimi sikwenda coz Nina mke ningesemaje na kibaruani ningesemaje ila nilikuepo wakati wa kuaga apa mjini.

Baada ya mazishi Dada akarejea mjini kuendelea na majukumu. Tukaendelea kuwasiliana akaanza kunipa changamoto za ndoa yake kumbe mume wake hajushiriki hata kidogo kwenye matibabu ya mkwewe hyo ni stor nyingine

Mazoea yakazidi lakini kila wakati akawa anacctiza cjui atanipa zawadi gani ili nitambue ni kiasi gani ana appreciate mchango wangu kwake nikawa namtuliza kua asiwe na wasi wasi sisi ni binadamu kusaidiana jambo la kawaida tu na nimelelewa katika misingi ya kusaidia pale ninapoweza

Na kwa ukweli nilitoa damu siku ile bila kutegemea kitu chochote kutoka kwake nilitaka iwe sadaka yangu kwake lakini nadhani sio sadaka teeena kwa haya yaliyotokea

Siku moja ya jumapili akaniomba nimsindikize shambani kwake bagamoyo nikamwambia asubuhi nitaenda kanisani akanambia nae ataenda tukitoka ndo twende nikamwambia fine, jumapili ilivofika kama saa nne na nusu ivi nimetoka church akanitext nikamwambia niko ok kwa wife nikadanganya Kuna mishe nafanya akanielewa

Tukapanga wapi anipie akaja na ki Ist chake safari ya bagamoyo ikaanza akawa amenunua nyama choma na soda za take away tukawa tunakul huku tunapiga stori za maisha. Tukaacha bara bara ya lami kuanza kuingia shambani tukafika sehemu akashuka akasema anaenda kukojoa alivorudi wakati amekaa kwenye siti akapandisha dira mapaja yote yakawa yapo wazi malaini mazuri na hipis zile mmmh. Nikamwomba afunike wapaja akagoma

Akili zikanihama kabisaaa nikajikuta nimepoteza concentration cjui shetani gani aliningia nikaanza kumpapasa mapaja kumbe hata chupi hakuvaa alikua kavaa dira tu na shape ile nikajikuta namvua zote ndani ya gari tukavunja amri ya sita tena kavu

Baada ya kumaliza nilianza kujutia nafsi ikawa inanisuta saaana nikajiuliza km huyu Dada kaungua itakuaje vipi kwa mke wangu nae mtoto wa watu itakuaje

Shamba hatukwenda teeena nikawa nimefura nimebadilika hata kuongea nae tena nikawa cwezi akawa ananiongelesha nikabaki kimya njia nzima moyo ulikua unaniuma saaana nikawa nimevurugwa vibaya saana kufika nyumbani nikimwangalia mke wangu nikajiona wa hovyo saana lakini nikajiwekea mpango kua siwezi kumuingilia mke wangu bila kujua afya ya yule Dada

Jumatatu yake dada akawa ananiomba msamaha kwa yaliyotokea lakini akisisitiza kua hajawahi kuona mwanaume wa ajabu kama Mimi nimepewa penzi alafu nanuna na uzuri wake wote ule kwangu hilo halikua issue, issue ni afya yangu

Jioni ya siku hyo nikamwambia Nina wasi wasi na afya akacheka saana akasema kesho yake tukapime wote kwenye hospital ntakayoipendekeza Mimi, ckulala ucku ule mchana kwenye saba ivi Mimi na yeye tukaenda kupima wote tukaonekana tupo vizuri

Tulipotoka hospital akanambia tutafute sehemu tukae tuongee kidogo tukaenda kukaa bar flani ivi wakati tupo nje tumekaa akambia hayupo confotable twende chumbani ila hatutafanya chochote nikakataa akalazimisha tukachukua room tulivofika akakaa kwenye kiti Mimi kitandani kilichotokea baada ya hapo sex. Huyu Dada Mimi ananibaka coz nafanya nae ngono sipendi sema tu mazingira najikuta nmekua mtumwa wa ngono coz Kuna wakati cna mood unashangaa ananipitia kazini na kigari chake naishia kumfanya tu hata kimoja
Unazingua na kitujazia nzi
 
pole sana mimi nashauri uachane nae maana mapenzi hayajifichi na mwisho mkeo atajua tu, na utajikuta uko matatizoni
 
Kiongozi hongera Sana! Na sio kwamba unabakwa! Mwanaume habakwi hata siku moja! Story yako inafanana na story ya Kaka yangu. Alikuwa na demu wake wa muda wa kawaida tu. Nyumba zetu zikitazamana. Akaja mgeni toka mbeya mdada mashalaa toka mbeya Dada alikuwa amejazia balaa, kaka alikuwa master alioiga story na bidada km Mara mbili tatu hivi bidada akajikuta gheto mwenyewe akafatunwa. Sasa Kaka yangu ikawa anamlinganisha na demu wake, anasema aaargh demu gani paja km feni, maana alikuwa kajazia bana na rangi ya chocolate mchaga aliyelowea mbeya huyu wa kila siku Mtoto wa kizaramo. Akawa analaani kila akitoka kwenye game sipigi Tena, lkn demu kanogewa akija tu home bro anamtafuna. Basi Kiongozi najua moyo unapenda lkn akili inakataa. Mbaya Sasa wewe ni mume wa mtu plse usiitelekeze family yako isijepigwa kiberiti km Zungu wa Makabe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom