Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

NCHIMBI NDIO KANIACHA HOI. MWAKA MMOJA ALIKUWA ANAFANYA VITU VITATU 2001 ALIKUWA MZUMBE ANAFANYA MSC, MWAKA HUO HUO ALIKUWA MWANAFUNZI WA COMMONWELATH OPEN UNIVERSITY ANAFANYA MASTERS NYINGINE NA MWAKA HUO HUO ALIKUWA AKIFANYA phD chuo cha Commonwealth AMESHINDWA KUPANGA UONGO WAKE VIZURI.

WANASIASA WA NIGERIA WAMEWAHI KUFANYA MIKASA KAMA HII SERIKALI YAO IKAWACHUKULIA HATUA KALI.KWANINI RAMADHAN KIHIYO ALIADHIBIWA NA HAWA WAACHIE?

MKANDARA
IKITOKEA UNAUMWA MOYO NA NCHIMBI AKAJA NA CHETI FEKI CHA UDAKTARI AKATAKA AKUFANYIE OPARESHENI UTAKUBALI?

AKIJA KAMALA NA LESENI YA URUBANI AMBAYO NI FEKI AKASEMA ANATAKA KUPAKIA ABIRIA UTAKUBALI? KUWA NI KIONGOZI NI ACCOUNTABILITY TUMOENA BUNGE LA UINGEREZA WABUNGE WAKIJIUZULU KWA KUTUMIA POUNDS TANO-SAWA NA ELFU KUMI ZA TANZANIA.NAGU ANATUWAKILISHA MIKUTANO MINGAPI YA BIASHARA KAMA WAZIRI MWENYE PHD? KINA KOMBA WAMEKOSA UWAZIRI KWA VILE ELIMU YAO INAONEKANA NDOGO. HAWA WENYE PHD FEKI HAKUNA HATA MMOJA ASIYE WAZIRI.WAMEDANGANYA WAFUKUZWE KAMA NI JAMAA ZAO SORRY.WEWE UKO CANADA UNASHINDWA KUJUA NINI MAANA YA KUWAJIBIKA?
 
Kwa hiyo Makongoro Mahanga ndio aliyelikoroga?alijua ana Phd Feki akaanza kumsakama Sitta na kundi lake.inabidi yafanyike maandamano kushinikiza hawa watu waachie ngazi.tusimuachie Msemakweli peke yake. wameturubuni Watanzania wote.[/QUOTE]

Na William Lukuvi alikuwemo......

Pls add:
Nchimbi Vs Nape!

Kazi kweli kweli!
 
Hakika kichwa chatakiwa kuwa Watuhumiwa kwa kujipa viwango na au elimu wasiyokuwa navyo.

Nichanganue machache kuhusu mada hii:

1. Ufeki wa vyeti/ elimu unaoongelewa Tz na dunia kwa ujumla unagawanyika katika makundi mbalimbali mfano:-

a. Ambao hawakusoma kabisa elimu husika lakini kwa namna moja au nyinginge wakaiba au kugushi kwa maandishi na kupata namna ya mfanano wa Cheti/ Stashahada/ Shahada husika. Wizi huu unaoneka kufanywa toka mtu binafsi kwa hali ya chini au katika maduka madogo tu ya uhitasi na uchapaji hadi ule wa hali ya juu unaoandaliwa na wataalamu wa wizi mitandaoni wakitoa matangazo kama unataka kununua cheti chochote ambacho hakitatiliwa mashaka kwa urahisi.

b. Ambao hawakusoma kabisa elimu husika lakini kwa namna moja au nyinginge wakaiba au wakapewa Cheti halisi cha mtu au ndugu/ rafiki yake aliyehitimu na hivyo kupata nafasi fulani kwa kutumia mgongo wa mwenye elimu.

c. Ambao wamesoma elimu fulani lakini wakashindwa au hawajahitimu masomo yao lakini wakagushi vyeti au kujipachika taarifa kuwa wamehitimu.

d. Ambao wamesoma elimu fulani na kuhitimu lakini kutoka katika vyuo au taasisi ambazo havina ithibati toka mamlaka husika za nchi hizo.

e. Ambao kweli wamesoma na kuhitimu kiwango cha elimu fulani lakini kwa makusudi wanawasilisha kiwango au elimu tofauti na walivyohitimu ama kwa maandishi au kwa maneno kwa mwajiri au katika mamlaka fulani pengine kwa kutake advantage ya wahusika kutokujua undani wa elimu hiyo. Hapa utaona kuwa hata badhi yetu humu hatujui kwa kina masharti au hatua za kukubaliwa kuwa Mwanafunzi / Mshiriki wa elimu ya shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) na pengine hata tunashindwa kutofautisha kati ya Udaktari wa honoraria, Udaktari wa Falsafa na Upropfesa. Ndipo unasikia mtu anasema sijui uwepo mpango kuwa kila mwenye PhD asiyetoa machapisho (Publications) kila mwaka aondolewe n.k

Wote a mpaka e wana makosa ingawa pengine kwa mnyambulisho wa sheria husika wanaweza kupewa adhabu tofauti tofauti kulingana na makosa yaliyotendwa na kwa kurejea mazingira.

2.Ushauri wangu:

a. Wakibainika na mojawapo ya makosa ya ufeki wa elimu wachuliwe hatua mara moja pasi kusita. Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa.

Yaani tunafisha juhudi na wajibu wa taasisi za elimu na bodi za ithibati; tutalea kizazi cha watoto wasio na tija katika kujiunga au kuendelea na shule na au masomo ya juu; tutawapa moyo matapeli kudumisha na kushamirisha uongo na viwanda vya vyeti ( Diploma mills) na mbaya zaidi tunawachanganya Waajiri na Wananchi hivyo kuishia kupata watumishi / wawakilishi feki katika nafasi mbalimbali kutokana na mlipuko wa vyeti (diploma inflation) na hivyo tutaishia kuwa na Taifa la Watumishi na Viongozi wenye elimu za kubumba zisizolandana nao na kwa hakika matunda yake ni hasi katika nyanja zote za maisha.

b. Ni wakati muafaka kurejea sheria yetu ya vyuo vikuu na au kutunga sheria bayana iliyoboreshwa itakayohusika na uthibiti na udhibiti wa uhakiki na tafsiri za Vyeti/ Stashahada/Shahada za elimu mbalimbali toka ndani na nje ya nchi na suala zima la utunzaji wa kumbukumbu za elimu na viwango vya elimu.
 
Chitalilo alifunguliwa kesi na wapiga kura wa jimboni mwake kwa kugushi vyeti. Ingawa alipatikana na hatia lakini Spika wa Bunge akasema hiyo kesi haihusiani na mambo ya Bungeni. Wanalindana. Mpaka leo bado ni mbunge. Kuwepeleka mahakamani ni kupoteza muda, Dawa ni kuwa na wabunge wa upinzani wengi tu bungeni.

.

Mkuu Nyumbu
Chitalilo alichongewa hivyo vyeti na dola wakati anapelekwa Uganda kufanya ushushushu sasa unataka dola ijikamate yenyewe? Katika sura ya dola la Tanzania Chitalilo hana vyeti feki maana wao ndio waliompa
 
Wanajamii, yafuatayo ni maelezo ya chuo alichopatia Phd Mhe. Nchimbi cha 'commonweath Open University" kuhusu hadhi ya chuo hicho.......'

"About Commonwealth Open University

COU provides adult continuing education. It was developed to meet the needs of adults by offering non-resident degree and other programs on an international basis. The programs have been organized and developed using as a starting point the "off-campus" external degree concept tried and tested by the various "universities without walls".
There are no entry requirements for undergraduate courses. You decide how long you will take to complete your course work. While you are studying, a teacher will be available to offer help, answer questions, and guide you through the learning process, but students are free to choose their own study pace.
As an institution of distance learning, COU has been able to assemble a faculty of recognized experts from throughout the global marketplace. Our faculty consists of university professors, business executives, consultants, and other specialists. Though these instructors vary in subject matter expertise, they share important attributes. All of them are actively practicing what they teach, and they are skilled in imparting their knowledge through distance learning channels and technology.
COU is committed to providing equal opportunities for study. We welcome applications from English speaking people of all nationalities and from any background, regardless of race, gender, sexual orientation, age, occupation, marital status, sensory or physical disability, religious or other beliefs.
Commonwealth Open University is an international institution registered and established in the British Virgin Islands (U.K.), which has many students all over the world. COU educational programs are acknowledged as the foremost, with an excellent academic reputation. COU staff and lecturers are very committed to quality in services. Our graduates have had remarkable success in having their degrees accepted. Although we can not guarantee that a COU degree will be accepted, we will gladly supply information to potential or current employers or institutions".

NB; YALIYOPIGIWA MISTARI YANAONGEZA WASIWASI JUU YA UWEZO WA TAALUMA NA HADHI YA CHUO HICHO.......

melezo haya yapo katika website: www.commopu.org/commopu.htm

UTATA UNAJITOKEZA ZAIDI UKIFUATILIA MIJADALA KUHUSU CHUO HICHO KATIKA blog ya Degree.net (tembelea http://online.degree.net/accredited...alth-open-university-1915.html).........wadau wa elimu kwingineko wanaponda kwa kusema........

".........( Mdau wa kwanza ...

Homeless4ever) .....
"hiiii , is there is any body know any thing about this university
Commonwealth Open University
is't accredited or not ..

Homeless4ever-Dubai.........

Mdau wa pili (Baraban)

" Last time I read about this school it was unrecognized with low academic value. Some regard it as Mill.
In Us in Oregon and couple of other states their degrees are illegal.

Go to Open University UK they are respected established open university"...........

Mdau wa tatu (Ahamed)

" Hi
This University definately with out a doubt is a mill,(as I have always stated that not all unaacredited schools are mills, although most are,there are some unaacredited schools that are really good, and do not fall under the mill banner).
For your info here is a clipping from the Star newspaper (South African daily newspaper).:

There's nothing open about this university (Hakuna Kitu!)

Some are practising with their degrees from Mensana and Commonwealth Open

They were promised an international degree and after years of hard work were left with nothing to show for it.

The Commonwealth Open University advertised internationally accredited degrees to South African students. But a month ago an article appeared in Rapport newspaper exposing Mensana college for admitting students on short courses that were not accredited with any South African institution.

Concerned, some students of Commonwealth Open University contacted The Star, claiming they studied for degrees through Mensana.

"My heart stopped when I saw that report," said one student. "I thought after all my years of hard work my (PhD) thesis might be worth nothing."

After paying R20 000 (+/-$2900), she said all she had to do was bind her thesis and hand it in for marking.

"I called Liezel Herholdt to ask what was happening after the report, but she told me it just involved the certificate courses and I won't be affected because mine is a degree. Professor Marius Herholdt (her adviser) told me over the phone that he applied for accreditation with SAQA (South African Qualifications Authority) and the CHE (Council for Higher Education) in 2006 but was just waiting for it to come through."

The CHE told The Star that they had received many complaints about the two institutions - neither of which was accredited with them. The Department of Education confirmed it had written Mensana a letter after discovering they were not accredited as a higher institution in South Africa. It received a reply from Mensana saying it Mensana not offering higher education courses.

SAQA said that they first find out whether international institutions are recognised in their own countries before giving them accreditation in SA.

"Commonwealth Open University operates out of the Virgin Islands and it is not recognised by their own body in the UK," said Joe Samuels, the deputy executive officer at SAQA.

The university is listed on website Wikipedia's list of unaccredited institutions of higher learning, which warns potential students that their degrees are also not accepted in the US.

"I studied with Mensana," said a former student who did not want to be named as she is operating as a medical practitioner with her degree. "The standards were terrible. Sometimes we came to class and nothing was prepared. There were lots of things that weren't kosher and every time we queried what was happening we were told a different story."

When The Star called Marius Herholdt, he denied having anything at present to do with the university.

"I'm no longer involved," he said. "SAQA wants all these overseas universities to register with them so we terminated our contract. This happened at the end of 2005, but there were still a number of students in the system that we had to finish up with. We are not enrolling any new students. Mensana is only a campus. We are open to any organisation who wants to lecture there."

The Star, however, has in its possession a degree issued by Commonwealth Open University signed by Herholdt.

Mensana spokesperson Gary Prince said they were being mixed up with Commonwealth Open University and were in fact called the Commonwealth Closed Corporation.

"The activities of Mensana have nothing to do with that of Commonwealth Training cc. We apply a service to people who want us to facilitate their studies through any other institution."

By Angelique Serrao The Star 11/04/07.

So I would suggest you stay away from Commonwealth Open University......(Kaa mbali na chuo hicho...*
 
Hakika kichwa chatakiwa kuwa Watuhumiwa kwa kujipa viwango na au elimu wasiyokuwa navyo.

Nichanganue machache kuhusu mada hii:

......................................

a. ..................................

b. ...............................

c. .................................

......................

2.Ushauri wangu:

a. Wakibainika na mojawapo ya makosa ya ufeki wa elimu wachuliwe hatua mara moja pasi kusita. Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa.

.........................
Kibunago, I beg to differ with you on this a little bit. I agree with you that let us not blame the president but since he is the one who hired them he SHOULD come up with a statement and/or action of some sort either condemning them and letting them go or embracing that such degrees are legit and acceptable by the TZ government (which will raise a hell of a lot of questions for him, the government and the country as a whole!)

The so-called BOT people who it turns out many were mere clerks responsible of preparing old notes to be destroyed, bosi wao aliwafikisha mahakamani with a lot of fan fare and loss of their jobs. Bosi wa hawa mawaziri, Raisi Kikwete, afanye hivyo hivyo na awafikishe mahakamani na loss of their jobs also.The sooner the better!! (Naambiwa amesafiri tena.........shiiiiit!!!)

Come on Mr. President, do something!! Damn!!

(BTW, Kibunago, remember we talked about this same stuff during the hey days of the now defunct youngafricans.com? I remember the list of vigogo with questionable degrees was a little longer than this above...........)
 
Kwa Kamala, mimi nafahamu elimu yake toka mzumbe-ni mzuri tu labda maloloso kwenye huo u-dokta,lakini najua alikwenda kusoma nchi za scandinavia kama sikosei.
langine wengine sina data zao.
 
Hakika kichwa chatakiwa kuwa Watuhumiwa kwa kujipa viwango na au elimu wasiyokuwa navyo.

Nichanganue machache kuhusu mada hii:

......................................

a. ..................................

b. ...............................

c. .................................

......................

2.Ushauri wangu:

a. Wakibainika na mojawapo ya makosa ya ufeki wa elimu wachuliwe hatua mara moja pasi kusita. Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa.

.........................
Kibunago, I beg to differ with you on this a little bit. I agree with you that let us not blame the president but since he is the one who hired them he SHOULD come up with a statement and/or action of some sort either condemning them and letting them go or embracing that such degrees are legit and acceptable by the TZ government (which will raise a hell of a lot of questions for him, the government and the country as a whole!)

The so-called BOT people who it turns out many were mere clerks responsible of preparing old notes to be destroyed, bosi wao aliwafikisha mahakamani with a lot of fan fare and loss of their jobs. Bosi wa hawa mawaziri, Raisi Kikwete, afanye hivyo hivyo na awafikishe mahakamani na loss of their jobs also.The sooner the better!! (Naambiwa amesafiri tena.........shiiiiit!!!)

Come on Mr. President, do something!! Damn!!

(BTW, Kibunago, remember we talked about this same stuff during the hey days of the now defunct youngafricans.com? I remember the list of vigogo with questionable degrees was a little longer than this above...........)
 
Rais siyo wa kulaumiwa kwa sababu hamna anayejua alitumia kigezo cha elimu ya kiwango gani kuchagua hawa wasaidizi wake (Mara nyingi inakuwa kumbukumbu za utendendaji wao na elimu inafuatia). Inawezekana aliyetuhumiwa angebaki na masters yake ukiondoa PHD angeteuliwa bado.

Lakini hawa waheshimiwa bado wana tuhuma ya kudanganya kama ikithibitishwa.
Wanastahili kujiuzulu.
 
Dk. Chegeni alipoulizwa na mwandishi wa Nipashe juu madai ya elimu yake, naye alimuuliza mwandishi kuwa: “Mtu akikuuliza mimi ni mume wa mama yako utajibu nini?” Lakini mwandishi alipomtaka ajibu swali aliloloulizwa, aliongeza: “Kama mtu huyo amesema ana haki ya kusema.”
Jamani imekaaje hiyo???????????????, maana mi sijaelewa!
 
Hakika kichwa chatakiwa kuwa Watuhumiwa kwa kujipa viwango na au elimu wasiyokuwa navyo.

Nichanganue machache kuhusu mada hii:

......................................

a. ..................................

b. ...............................

c. .................................

......................

2.Ushauri wangu:

a. Wakibainika na mojawapo ya makosa ya ufeki wa elimu wachuliwe hatua mara moja pasi kusita. Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa.

.........................
Kibunago, I beg to differ with you on this a little bit. I agree with you that let us not blame the president but since he is the one who hired them he SHOULD come up with a statement and/or action of some sort either condemning them and letting them go or embracing that such degrees are legit and acceptable by the TZ government (which will raise a hell of a lot of questions for him, the government and the country as a whole!)

The so-called BOT people who it turns out many were mere clerks responsible of preparing old notes to be destroyed, bosi wao aliwafikisha mahakamani with a lot of fan fare and loss of their jobs. Bosi wa hawa mawaziri, Raisi Kikwete, afanye hivyo hivyo na awafikishe mahakamani na loss of their jobs also.The sooner the better!! (Naambiwa amesafiri tena.........shiiiiit!!!)

Come on Mr. President, do something!! Damn!!

(BTW, Kibunago, remember we talked about this same stuff during the hey days of the now defunct youngafricans.com? I remember the list of vigogo with questionable degrees was a little longer than this above...........)
 
Hao mafisadi wa elimu mbona wanafahamika siku nyingi na wameshasemwa sana lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. Kuna mwingine Moses Warioba alifoji PhD, akapewa hadi uprofesa na ukuu wa chuo Mzumbe kwa cheti cha kughushi, na amekula bata kwa kwenda mbele hadi amestaafu, kudadadeki! Nchi hii bwana! Kama kuna maprofesa wa kughushi katika vyuo vikuu, unategemea nini katika sehemu nyingine?

Nafikiri hii nchi inahitaji jitu kama Benito Mussolini au Adolf Hitler.

chuo kikuu cha mzumbe ndo kinaongoza kwa maprofesor,na maPHD holder feki that means hata waliofundishwa nao ni feki pia. hahahahhahah
 
Hakika kichwa chatakiwa kuwa Watuhumiwa kwa kujipa viwango na au elimu wasiyokuwa navyo.

Nichanganue machache kuhusu mada hii:

......................................

a. ..................................

b. ...............................

c. .................................

......................

2.Ushauri wangu:

a. Wakibainika na mojawapo ya makosa ya ufeki wa elimu wachuliwe hatua mara moja pasi kusita. Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa.

.........................
Kibunago, I beg to differ with you on this a little bit. I agree with you that let us not blame the president but since he is the one who hired them he SHOULD come up with a statement and/or action of some sort either condemning them and letting them go or embracing that such degrees are legit and acceptable by the TZ government (which will raise a hell of a lot of questions for him, the government and the country as a whole!)

The so-called BOT people who it turns out many were mere clerks responsible of preparing old notes to be destroyed, bosi wao aliwafikisha mahakamani with a lot of fan fare and loss of their jobs. Bosi wa hawa mawaziri, Raisi Kikwete, afanye hivyo hivyo na awafikishe mahakamani na loss of their jobs also.The sooner the better!! (Naambiwa amesafiri tena.........shiiiiit!!!)

Come on Mr. President, do something!! Damn!!

(BTW, Kibunago, remember we talked about this same stuff during the hey days of the now defunct youngafricans.com? I remember the list of vigogo with questionable degrees was a little longer than this above...........)
 
Kweli wenye visa watu,mtu ajui hata darasa likoje anajiita Dr.????
Watanzania tutashindwa kuvumilia.
Mtu kama Nchimbi ukimwangalia tu anaonekana ni dr feki hata matayo david.Nagu sina hakika sana,lakini Kamala mie namfahamu sioni shida sana kwake kupata Udkt- kwani ana akili ya kutosha sana ingawa alilisoma vyou viwili UDSM na Mzumbe -mnajua hiyo.Kama maloloso basi hatakuwa amefanya huku kwenye kutafuta udkt.

Mdau wA Lusungo Ipinda Kyela.
 
HABARI AMBAZO BADO SIJAZITHIBITISHA KIUNDANI NA KUJIRIDHISHA LAKINI ZINAZO ONEKANA KUWA NI UKWELI MTUPU, IDADI YA VIONGOZI NA WATAWALA WASIOPUNGUA 19 hapa Tanzania walio madarakani WAMEBAINIKA KUWA NA PHD feki.. tutawasiliana zaidi ngoja niingie chimbo zaidi.
 
Back
Top Bottom