ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 8
Wengine walisomea degree za usalama kule ulaya mashariki ENZI ZA MWALIMU, na vyuo vyenyewe vilifungwa sasa sijui tutathibitisha vipi.
Hao hawatakiwi kuwepo madarakani leo hii.
Hii ni karne ya science na technologia, hao wazee wanatusaidia nini sasa? Ndiyo maana matendo na maaumuzi yetu Tanzania ni ya ki-miaka ya 47.
Wasomi hawathaminiwi, kwa kuwa waliopo madarakani wachonga vyeti au walisoma ngumbaro mwaka 47.
Tutawezaje kuendelea kama hatutaki kubadirika????
Wenzetu wanakwenda na change they can believe in.
Sisi tunaishi kwa No change we can believe in.