Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Ni aibu kubwa kwa serikali ya JK mawaziri 7 kujiuzulu,ni bora akija avunje Baraza lake lote. Bravo Zitto Kabwe...
 
suluhisho ni nini sasa

Dawa ni hii.
Ufanyike mpango wa kupata silaha.
Bunduki, mabomu na zana mbali mbali za kivita, then tuingie mtaani kudai uhuru wetu kutoka kwa hawa wakoloni.
 
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.

.
Hiyo ni ndoano ya Zitto imewananga. Yaani zitto ni kama Messi ndani ya Barcelona. Magamba ukikosea kidogo tu kutoa mwanya hesabu goli. Zitto amewapima wabwabwajaji wa magamba kwamba na wenyewe wanauchukia ufisadi na hapo ndipo alipowananga kwa kauli zao na kuwakaanga kwa mafuta yao wenyewe. Maana kama mawaziri wasingevua gamba,*Pinda ilikuwa avuliwe yeye kwa niaba yao.
.
 
Same Script, Different Cast...

Sitegemei mabadiliko (unless tum-clone Magufuli) na kumpa kila wizara

hivi lile deni la kuhifadhi samaki wa magufuli lilokuwa linadaiwa na vic fish lililipwa?kuna mtu anajua huyo jamaa aliliingiza taifa hasara ya kiasi gani?au mnashabikia tu
 
Mods, kuna kitu hakiko sawa mahali fulani nafungua uzi huu inafunguka habari ya mchana, kama mmezimerge basi muifute kabisa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom