Welcome to the 21st century:
Phones-wireless.
Cooking-fireless.
Cars-keyless.
Food-fatless.
Youth-jobless.
Leaders-shameless.
Relationships-meaningless.Attitude-careless.
Feelings-heartless.
Education-valueless.
Am just speechless.
Everything has become LESS but still our hopes are endless!! good 9tless.
Subiri tu, yawezekana ukaambiwa na akina Rs, FF na wengineo kuwa, 'you are demanding too much....!'Uozo ni kuanzia prezidaaa, ajiuzulu kwanza huyo
Watanzakweli mna moyo kweli! Tatizo ni ccm don't u guys get it?
Mie mzima kabisa bore umeleta huu uzi watambue
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
naona wille malecela ameandika pia kwenye face book naona kuna ukweli kwenye hili jambo
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
kilichobaki ni vote of no confidence to President! Cabinet karibu yote imeprove failure!
Rejao, tatizo la ccm uchafu umeanzia pale juu! Mnao uwezo wa kumvua gamba!?Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
Ndugu hii habari naiamini kwa sababu ya kina Field Marshal, mimi huyu @ NYC simwamini, umesahau hii
Wanatakiwa kunyongwa tumechoka