Mkuu ulimfahamuje huyu jamaa, sawa kabisa. LIKESkikwete ndio tatizo kubwa...huwa namfananisha na mti wa ashoki (muashoki) ule mti:
1. haufai kwa mbao
2.haufai kwa kuni za kupikia
3. haufai kwa kutengenezea samani
4.haufai kwa kuezekea nyumba
5.haufai hata kwa kivuli.
sana sana ule mti huwa ni pango na makazi ya nyoka wale wa kijani..
kikwete ni hovyo na pengine anaposikia taarifa hzi anakuwa na mixed feeling, amesaidiwa kazi ya kuondokana na mawaziri wazembe lakini pia anakuwa anasikitika kwa kupoteza watu waliokuwa wakilinda maslahi yake binafsi
Yumo mkuu. Atafaa sana kuanzisha bendi kama ya asha baraka.
barua zinaenda kwa katibu mkuu kiongozi.Sasa hizo barua watampa nani wakati Baba MwanaAsha yupo zake nje anakula bata!eti kifo cha msanii jamaa anaahirisha safari zake za anasa ila nshu critical kama hii hata haongei wala kurudi haraka......Kama prezidaa mnaye:A S angry:
Mkuu hayo ya madeni na mapungufu unayajua wewe, ila wakati nchi inataka mtu wa action ambae hamungunyi maneno, wa kunyoosha wizara (action man) I can see no other than Magufuli (husasan kwenye hili genge la majambazi.., In world of blind people, a one eyed man is King...hivi lile deni la kuhifadhi samaki wa magufuli lilokuwa linadaiwa na vic fish lililipwa?kuna mtu anajua huyo jamaa aliliingiza taifa hasara ya kiasi gani?au mnashabikia tu
Na Mr Simu mbili za Mil7, dola 4000 shortgun, Malaya etc, kampona?
kikwete ndio tatizo kubwa...huwa namfananisha na mti wa ashoki (muashoki) ule mti:
1. haufai kwa mbao
2.haufai kwa kuni za kupikia
3. haufai kwa kutengenezea samani
4.haufai kwa kuezekea nyumba
5.haufai hata kwa kivuli.
sana sana ule mti huwa ni pango na makazi ya nyoka wale wa kijani..
kikwete ni hovyo na pengine anaposikia taarifa hzi anakuwa na mixed feeling, amesaidiwa kazi ya kuondokana na mawaziri wazembe lakini pia anakuwa anasikitika kwa kupoteza watu waliokuwa wakilinda maslahi yake binafsi
Mods, kuna kitu hakiko sawa mahali fulani nafungua uzi huu inafunguka habari ya mchana, kama mmezimerge basi muifute kabisa moja.