Lukuvi atataja majina yao hivi punde....stay tuned!!!
Wandugu habari
Nina nyeti zinaingia zinasema hao jamaa hapo juu wamejiondoa na tafadhali kwa kuwa sijapata uhakika naomba mwenye lolote la kuongeza amwage hapa .
Nawakilisha wakuu .
jamani hizi tetesi ni za kweli?? mods hebu fanyeni uchunguzi fasta vinginevyo tusije aminishwa tukakuta kumbe ni udaku.
mchana kaanza Sitta, baadae 4, ikaja 7 sasa 8 kesho serikali nzima
WANAWATISHA WABUNGE TU. Hakuna waziri wa kujiuzulu bongo! Uwongo!!
Radio One imetangaza kuwa mawaziri nane wamejiuluzu, majina atatangaza katibu wa CCMM