Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

anakula bata mwenzako
Mambo ya Sao Paulo....
538505_10150726792553096_509283095_9535805_410272610_n.jpg
 
watanzania wenzangu, tatizo la nchi hii linasababishwa na watu 2.mtu wa kwanza ni rais mwenye. Kuna mambo ambayo yanampasa yeye kama president kuyafanyia maamuzi, lakini anakua kimya, mwisho wa siku ndio tunafika hapa tulipo.mtu wa pili ni pinda. Yeye kama pm, ilimpasa kuwa firm, lkn amekuwa legelege zaidi ya jk. Pinda amekuwa rabish kabisa, yani utafikili ni msukule vile.
suluhisho ni nini sasa
 
tupe majina make Radio One hawezi kusema breaking News bila kutaja majina ya waliojiuzulu,
 
- Waliitwa kwenye kamati ya Uongozi chini ya Waziri Mkuu, wakaambiwa wajiondoe wenyewe, wakajifanya kulia lia kwamba inaonekana vibaya, lakini msimamo ni ule ule lazima waondoke na wamekubali, wanajaribu kulia lia huko kokus waonewe huruma lakini hakuna!, stay tuned!

ES!

This boat under the captaiship of JK is sinking...lazima wajiokoe. Hakuna namna mambo si mambo tena.
 
Wameomba muda si mrefu wanwaletea habari kamili
 
jamani hizi tetesi ni za kweli?? mods hebu fanyeni uchunguzi fasta vinginevyo tusije aminishwa tukakuta kumbe ni udaku.
 
Breaking NWZ bado inaendelea Emmanuel Buhohela bado hajathibitisha anadai waandishi ni wengi sana hapo viwanja vya bunge usiku huu wa saa 4.30

Hata mie nimeisikia wanatakiwa watoke wote
 
Nina mashaka kuliko matumaini. Ingawaje najua orodha hii ikiongezewa na wengine wengi inapaswa kuwajibishwa, shida ni kuwa rais hana utamaduni wa kumkomalia mtu, hawezi kumkoma nyani giladi. atawatazama usoni atakumbuka walivyombeba ataona kama kufa ndio twafa bora ninawe mikono. Nitashangaa akiweza kumeza fundo hili na uchungu wake.
 
Lukuvi kakataa kuzungumza, anasema taarifa itatolewa na katibu wa magamba, waandishi wanasubiri. Na sisi wapenda nchi tunasubiri popote tulipo hakuna kulala.
 
tupe majina make Radio One hawezi kusema breaking News bila kutaja majina ya waliojiuzulu,

Muda mfupi hujao Lukuvi atatoa taarifa rasmi kwa waandishi wa habari hapo kwenye viwanja vya bunge...dom!!
 
Kama kutatokea mabadiliko yoyote, sifa zote ziende kwa upinzani!
Kamati zote zinazoongozwa na wapinzani zimefanya kazi njema sana!
 
Back
Top Bottom