hutaki acha.sasa kama hujui kuwa mawaziri wanaajiriwa na nani kuna umuhimu gani wa kuendelea kubishana na wewe? Ndio unanyan'ganywa tonge mdomoni hivyo aliyekuambia ufanye madudu ni nani?
Kwanza mtu akinyongwa huwa hafi anakuwa alive still??
ni kawaida yao mimi naona haitakuwa na maana endapo hawatarudisha iyo chapaa itakuwa tumewapenda sana hawa jamaa dawa ni wafunguliwe mashtaka ya nguvu tena si mchezo kuiba mali ya watanzania haiwezi ikaisha kwa kikao cha magamba huo ni uhni na ni dhambi kubwa sana na mheshimiwa baba riz tambua katika chama chako una wanafiki wengi kuliko watenda kazi na wameiga hii tabia kutoka kwako mkubwa kwaiyo cha kulaumu huna najua bwana lowassa saivi tabasamu ni zito na bashasha litaongezeka ivi karibuni ingawa na yeye ni pigo kwa taifa sasa basi tutachua madaraka maana nchi imewashinda nyie safi na mjue watanzania tumewachoka mnotayari ndio wanajivua live hapa.......maskini
ila huyu ngeleja asipoondoka itabidi nifunge kama Lema kwa wiki moja hadi aondoke,..
??????????????????Tonge lako, langu na la mwingine yeyote halitegemei uhodari wako wangu au wa yeyote yule. Huna uwezo wa kumpa au kumtoa mtu tonge, hata wa kujipa mwenyewe huna. Siku mwenye kutoa tonge akisitisha utoaji wake hata uingizwe kwa mirija haipiti. Wacha upunguani.
ni kweli kabisa ila kaka si wezi hao bado hawajawajibika hapa dawa ni kuingia mtaani washtakiwe wakikataa tunawapa adhabu wenyewe huu ni uhuni usio na kipimo asee uibe then ujiuzulu ukale ele yetu we na mkeo mi sikubali hata kama msiponiunga mknoInfact huu ndio mzizi wenyewe. Sidhani kama JK anaweza kuapisha mawaziri safi, wasio na scandal yeyote kutokana na sababu zifuatazo 1)kupata uwaziri lazima uwe mshkaji wa Kikwete au mtu wa ndio mzee 2) Kikwete anapenda watu ambao hawajamzidi kumfikiri (not very smart) 3) wanachama wa CCM walio safi/wazalendo wengi wao hawajapewa nafasi zozote za uongozi, so mpaka kuja kutambulika una-exist ni kazi saana etc. Kwa uwezo wakufikiri wa rais wetu lazima atafanya recycling tu. Akienda mbali sana atachukua wale wa awamu zilizopita akina Meghji.Lakini bado naamini kuwajibika kwa mawaziri ni hatua nzuri whether wamekuwa-pressured or not.