anasema wamarekani wanataka awe rais wa tz.........hahahaha huyu jamaa yaani haachii utapeli
mimi ndio nimeileta na mimi nipo maeneo haya hapa.so stay calm!!
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
Bora uchafu wote ndan ya chama chetu umalizike mapema ili imani wananchi waliyo nayo juu ya CCM iendelee kuwepo.
Nilitegemea jina la waziri mkuu litakuwemo kwa walio jiuzulu!
hapa kuna kamchezo, wanataka kutuziba macho ili tusahau kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu hapa,
huu ni muendelezo wa ile commedy!
Hivi hatuna makapten wa jeshi waliomakini na wenye uchugu wa nchi hii kama Sanogo wa Mali?. JK na yeye alitakiwa abaki hukohuko Sao Paulo Brazil, mpaka hapo tutakapoweka sawa mambo ya nchi yetu. Mimi naona bado we are beating around the bush, the snake is still hanging out in Sao Paulo
- Waliitwa kwenye kamati ya Uongozi chini ya Waziri Mkuu, wakaambiwa wajiondoe wenyewe, wakajifanya kulia lia kwamba inaonekana vibaya, lakini msimamo ni ule ule lazima waondoke na wamekubali, wanajaribu kulia lia huko kokus waonewe huruma lakini hakuna!, stay tuned!
ES!

jamani hii ni tetesi sina uhakika nazo kadri mda unavyoenda ndio tutaendelea kuwahabarisha msimeze . ni tetesi kama ni embe litajulikana tu