mengi yatajitokeza hasa baada ya rais kuwasili toka matembezini.
As for me list ya kujiuzuru ingekuwa hivi.
1. Ngeleja. 2. Kawambwa. 3. Hawa Ghasia 4. Sophia Simba. 5. Mkulo. 6. Nundu 7. Mponda. 8. Lukuvi. 9. Mkuchika. At least roho yangu ingesuuzika. But hao wa 4 haitoshi.
sio kunyongwa peke yake! wanatakiwa kunyongwa hadi kufa!!
watanzani wangapi kila siku wanakufa kwa uzembe wao??? tumechoka!!
kati ya watu wasiojitambua mmoja wapo ni wewe!!..huwa nakuonea hurua sana..
wewe nawe hueleweki nimekuuliza mengi kama yapi huwezi kufafanua
uliwaajiri wewe hata uwe na confirmation?
huyu achana nae kule twitte nimemuuliza swali akala kona...asubuhi wakati wabunge wanaweka sahihi alisifu kweli..jioni makinda alipopindisha kanuni huyu jamaa akaponda kweli uamzi wa zitto
ivi una akili au kuna kaupele kameota ubongoni kuwa wazi usaidiwe gamba litaondoka penda usipendeKwi kwi kwi teh teh teh!